ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PreGE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

    Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini. Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi. Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
  2. Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

    Salaam Wakuu, Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri...
  3. PreGE2025 LGE2024 Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

    Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba. Kulingana na barua...
  4. PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  5. L

    PreGE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  6. Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  7. Nawezaje kugombea Ubunge Dodoma Mjini?

    Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025.. Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
  8. Kiwango cha Elimu nafasi ya Ubunge iwe angalau Degree, Waziri awe mtaalamu na mwenye uzoefu wa kutosha kwenye sekta husika

    Wakuu, Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa? Huku ndio tunapata watu ambao ukiwawekea kengele tu kule mbele wanakuwa kama nyumbu bila kujali lolote. Tunakazana na...
  9. Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

    Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
  10. B

    Dkt. Ndugulile kujiuzulu ubunge Februari 2025 atakapothibitishwa rasmi kuwa Mkurungenzi mpya wa WHO-Afrika

    Dkt. Faustin Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika. Alitoa umauzi huo wa kuachana na kuwatumikia wapiga kura wake wa jimbo la Kigamboni leo jioni Septamba...
  11. DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
  12. Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

    Sisi tunakuombea Tutakusapoti Tutakulinda
  13. R

    PreGE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

    1. Lisu 2. Mbowe 3. Boniface Jacob 4. Ongezea na wewe
  14. L

    Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika...
  15. Tetesi: IKIWA ATAKOSA FURSA YA KUGOMBEA URAIS DR.WILBROAD P. SLAA KUGOMBEA UBUNGE

    na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema, duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
  16. Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  17. Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  18. B

    Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
  19. Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

    Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha. Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na...
  20. PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…