ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kazi za Ujenzi Zifanyike kwa Ubora na Uzalendo - Dkt. Biteko

    KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO - DKT. BITEKO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora na uzalendo mkubwa ili wainue uchumi wa nchi na kuhakikisha unashikiliwa na Makandarasi wazawa. Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Radio Free Afrika ilivyoyumba na kupoteza ubora kutokana na Mmiliki wake kuitumia Kisiasa

    Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini. Lakini Radio Free Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa club sio mwaka wa uanzishwaji bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake

    Hapo vip! Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu nyingi za shuleni na vijijini vilianzishwa kabla ya yanga basi tungesema hizo ndio timu kubwa,mfano...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Apongeza Ubora wa Jengo la Wizara

    WAZIRI NDUMBARO APONGEZA UBORA WA JENGO LA WIZARA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amepongeza ubora wa jengo jipya la Wizara hiyo linalojengwa katika Mji wa Serikali, Mtumba na kumtaka mkandarasi akamilishe kazi zilizobaki ifikapo Septemba, 2024. Mhe. Ndumbaro...
  5. JamiiForums Tanzania DKT Tulia: Mtambo wa kupima Ubora wa Barabara kuleta Mageuzi Tanzania

    MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakiwa kwenye ubora wao walihamasisha hadi Joh Makini na wenzake kutunga wimbo wa kiharakati uitwao Bye Bye

    Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu CHADEMA. Jamaa walikiwasha sana. Mwaka 2005 - 2015 zilikuwa ni zama za dhahabu kwa CHADEMA. Ilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubora wa Viwanja ndio Ubora wa Soka Letu

    Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
  8. JamiiForums Tanzania Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza power bank

    itakayo weza kukupa uhakika wa matumizi ya simu yako Vaa mkanda twende pamoja 🔋💡 Chaji Bila Wasiwasi na Green Lion 22.5W Power Bank 💡🔋 Karibu kwenye thread yetu kuhusu power bank ya Green Lion 22.5W! Mimi ni Abubakari muuzaji wa power bank za Green Lion, na nataka kushiriki nawe kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Mama

    Mama wanastahili sifa nyingi kwa jukumu kubwa wanalocheza katika familia kwa ujumla. Wana nguvu, uvumilivu, na upendo usio na kifani. Ni muhimu sana kutambua na kuthamini kazi kubwa wanayofanya kila siku bila kuchoka. Mungu awabariki akina mama wote duniani!
  12. JamiiForums Tanzania Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Habari wakuu... Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original... Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k... Kuna aliyewahi tumia? Ubora upoje?
  13. JamiiForums Tanzania Mkataa kuoa ubora wa mwanamke ni Piston Zake (4S): Mwanamke wa kupindua mtazamo ni umri wa 22-25 zaidi ya hapo Piston hazifai

    Shalom, Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe. Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi oa mwanamke mwenye Piston zote 4 (4S) wa umri wa miaka 22-25 juu ya hapo wanaobaki wote ni mabibi...
  14. JamiiForums Tanzania Madaktari wanaumia google kusoma vipimo

    Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao. Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa media za Tanzania kuonesha ubora wa nchi na sio majanga na vitimbwi!!

    Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu. Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya viwango na ubora barani Afrika

    SIKU YA VIWANGO NA UBORA BARANI AFRICA Dar es Salaam - Tanzania Tarehe 29/03/2024 Shirika la Viwango Tanzania TBS limeadhimisha Siku ya Viwango na Ubora Barani Africa kwa Nchini Tanzania Katika Makao Makuu ya shiriki hilo JIJI DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa TBS nchi Bwana Athumani Yusufu...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Akagua KM 20 za Barabara wa Miguu, Aagiza TANROADS & TARURA Kushirikiana Kusimamia Ubora

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
  20. JamiiForums Tanzania Ushindani wa soka uliopo nchini uchochee kuinua ubora wa soka Tanzania

    Mathalani, Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒 Viongozi wa serikali na wasio wa serikali, wahamasishe na kusimamia ushindani huu, uwe mkubwa zaid na uwe wa amani na utulivu ili kusudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…