ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Gari iliyotumika Zanzibar na yenyewe inakaguliwa ubora na TRA

    Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA? Kama ndivo nijipange make nimeona...
  2. JamiiForums Tanzania Interchange ya Ubungo kutojengwa kama ilivyokusudiwa. Kwanini ilipunguzwa Ubora?

    Kwanza tujikumbushe kuwa gharama ujenzi wa 'flyovers' na 'interchanges' ni msaada 'Grant' kutoka serikali ya Japan na nyingine ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (Mabeberu) . Mikataba ulishaingiwa kujenga aina 6 za mfano wa hizo katika makutano ya barabara hapa mjini tangu awamu ya 4 mwishoni. Watu...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vibrated Blocks Zenye Ubora (Tabata)

    Nunua Matofali ya Inch 5 yenye Ubora wa hali ya juu kutoka kiwandani Kwetu Tabata karibu na Shule ya Tusiime. Ratio yetu ni matofali 43 kwa mfuko mmoja wa Cement. Bei ni Shilingi 1,000/=. Wasiliana nasi kupitia namba 0687320462. Wote mnakaribishwa.
  4. JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ubora wa Vyuo vya Elimu ya Juu Uganda

    Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  7. JamiiForums Tanzania Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

    Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa
  8. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari. Stability zake, upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…