ubongo

Ubongo is a board game developed by Polish-born Swedish game designer Grzegorz Rejchtman. It originally appeared as Pyramidens Portar by the Swedish publisher Kärnan and won the Swedish Årets spel prize in 2003. The game was later released in Germany in 2005 as Ubongo by the publisher Kosmos and got 4th place at the German board game competition and was among the finalists in the International Gamers Award.
The game is for 2 to 4 players of ages 8 and above, and takes about 20 to 30 minutes. Ubongo is an abstract puzzle game, based on a pentamino variant, reminiscent of a combination of Tangram and Tetris. The game includes a simplified version with fewer pieces, for children and beginners.
Ubongo is well suited for a game for the whole family, because its mechanics entertain both children and adults. Solving puzzles is entertaining by itself and provides excitement when combined with competition with other players.
The word "ubongo" means "brain" in Swahili, a language currently spoken in Eastern and Central Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huduma Hii Ya Kulisha Ubongo Itasaidia?

    Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi, Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata, - kukosa muda wa kusoma vitabu. - lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa" nina...
  2. JamiiForums Tanzania Tako limekuja kuwa dili kuliko ubongo?

    Yaani akili inazidiwa na tako ? Tanzania. Yaani elimu imeshindwa kuwa msaada, hatimaye tako limeshinda
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Magembe apongeza huduma za MOI Sabasaba, ahimiza Kampeni ya "Vaa Helment, Ubongo Hauna Spea"

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, amepongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba, huku akihimiza kuendelea kuimarishwa kwa kampeni ya "Vaa Helmeti, Ubongo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Ndoto Zinazoonyesha Mambo Yajayo Ni Kazi ya Ubongo au Ulimwengu wa Roho?

    Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi? Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana? Au tuseme ndoto huwa ni dunia...
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha chama kuongozwa na mtu ambaye yupo gerezani kwa makosa ya uhaini ni dhahiri kwamba ubongo wa Mwafrika bado upo analogy

    Miaka ya 70's huko viongozi wa Africa walikuwa wakishashinda uchaguzi wanahamia Ulaya kula Bata huku wakiacha nchi zao zikiongozwa na vivuri vyao tu, Ni kitendo cha aibu kiongozi mhaini kuendelea kuwa madarakani ili hali yupo gerezani tena KWA makosa ya uhaini hii ni ishara kuwa Mwafrika bado...
  6. JamiiForums Tanzania 🧠⚡ JE, MAAMUZI YAKO NI YAKO KWELI… AU UBONGO WAKO UNAONGOZWA NA PSYCHOLOGY BILA WEWE KUJUA? 🤯

    Kila siku binadamu hufanya maamuzi kuhusu pesa, mahusiano, biashara, afya, kazi, na maisha kwa ujumla. Lakini ukweli wa kushangaza ni kwamba watu wengi hawaamui kwa logic pekee — akili, mazingira, emotions, habits, na psychology vina influence kubwa sana kwenye choices tunazofanya kila siku. 👉...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la dunia la madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 10. Tukisusa JKT si kuukomoa mfumo bali tunaukomoa ubongo wetu wenyewe

    Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni, lakini kinatetemesha mustakabali wako. Akikuona huendi, anasema: “Huyu ndio rahisi kutumia baadae. Hana...
  9. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Pemba Yanavyosababisha Mtindio wa Ubongo na Saratani

    Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo. Hayo yameelezwa na Dkt. Joseph Mwanga, mhadhiri mwandamizi wa Afya ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  10. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Wapinzani mnasikiliza uongo wa Polepole hadi usku wa manane? Basi tunahijaji reforms za ubongo wa wapinzani, hivi mnajielewa kweli?

    Nawashangaa sana hawa wanaojiita Upinzani, hivi Hawa wapinzani wetu ni wakulala wanaskiliza press za polepole Leo kweli? Nadhani ni kukosa hoja kwa Wananchi, lakini si kukesha eti mnamsikiliza polepole usku wa manane Leo... This is stupidity, inamaana mnasahau mapema hivi? Hata kama ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unatumia akili za ubongo sahau kujua mambo haya

    Kabla ya kuingia kwenye elimu ya yote, ni muhimu kuelewa kwamba mwanadamu anaguswa na aina mbalimbali za elimu za kimaumbile ambazo husaidia kufafanua ulimwengu unaoonekana. Fizikia hutufundisha kanuni za mwendo, nguvu, na nishati; Kemia hueleza muundo na mabadiliko ya vitu; Baiolojia huchunguza...
  13. JamiiForums Tanzania Nina kichwa, ila hakina ubongo.

    Je, mimi ni nani?
  14. JamiiForums Tanzania Tumbo lako ni kama ubongo wa pili

    Wakuu mpo! Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Inashangaza kuona watu wakipanda boda boda wanavaa helmet ila wakienda kula wanakula kimazoea bila kulijali tumbo kama wanavyo kijali kichwa. Watu wengi hawalijali Tumbo, Shibisha tumbo lako kwa kula vyakura vizuri mboga mboga na...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ujue Ubongo wa binadamu ulivyogeuzwa kwa kanuni ya (High na Low) part2

    Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili. Ubongo wa kushoto Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa kulia. Yaani mfano shambulio la ubongo wa kushoto linafanya viungo upande wa kulia vipararaizi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa binadamu umegeuzwa na unafanya kazi kwa kanuni kuu mbili tu (High na low), ukijua kuzitumia unatoboa

    Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika! Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low) Mifumo yote iliyopo ulimwenguni ni lazima iongozwe na kanuni hizo kuu ili kuleta matokeo! UBONGO WA BINADAMU Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    Siku hizi maisha ya chuoni yamebadilika sana kwa sababu ya AI (Artificial Intelligence). Kuna AI tools ambazo zinaweza kusaidia sana kwenye masomo na kazi za chuo. Badala ya kupambana peke yako, unaweza kutumia AI kama rafiki wa kujifunza. 👉 AI inaweza kukusaidia kuandika assignments, kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Comfort Zone imedumaza Akili za Wana CCM Hawana Ubunifu Kabisa

    GT Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM. Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…