Picha za afisa wa polisi aliyeshambuliwa na kundi la vijana huko Homa Bay zimeibua swali ambalo tunapaswa kujiuliza kama taifa:
Je, tofauti zetu za kisiasa zimetufanya tusahau thamani ya maisha ya binadamu?
Unaweza kuunga mkono ODM, Kenya Kwanza, Linda Mwananchi, upinzani au serikali - lakini...
Tanzania imegeukia kuwa uwanja wa damu. Kinachouma zaidi watanzania hawana kitu kinaitwa revenge. Hawa vibaka wangekuwa South Africa au hapa USA wangekuwa washaliwa vichwa.
RCO wa mkoa wa Mwanza bwana Sudi, ametenda makosa makubwa mnoo, kiasi kwamba amefikia threshold ya kushitakiwa Kwa crime...
Ni binti huyu mtoto wa 2000, nilimweka anisaidie dukani.
Mishahara kwa maduka mengi ni laki hadi laki na nusu, mimi nampa 180k.
Kila siku anachukua 5k,
Nimeweka wifi dukani ya ttcl asiboreke sana, 55k kwa mwezi.
Jumapili siku ya kupumzika
Leo kuna namna nimeweza kunakili chats zake zote...
Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu kabisa.
Hii ni hadithi yangu kuhusu majuto, msamaha na somo ambalo sitawahi kulisahau.
Nilipokuwa...
Akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 jijini Dodoma, Tundu Lissu aliyekuwa Mkuu wa Sheria wa CHADEMA, aliwajibu waliokuwa wakidai kuwa amemtukana Mwalimu Julius Nyerere kuwa kiongozi huyo alikuwa binadamu na alikosea, hivyo kumkosoa ni kuthibitisha ubinadamu wake.
Kuna mtu kakataliwa na Mungu aliyemuumba, Mungu anatumia umma kumwadhibu, Farao yule wa Misiri, alifanywa moyo wake kuwa mgumu ili aendelee na ushetani wake ili aje kujionea ukuu wa Mungu kwa macho yake, ndivyo ilivyo sasa katika nchi Fulani, mtu huyo katiwa ugumu wa moyo ili aone ni sawa kwa...
Wajumbe.
Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake.
Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia.
Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake.
Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu
"Haya"
Kesho yake anakutumia
"mbona kimya?"
Unamwambia jana ulirudi late sana yule mgonjwa ambaye ni mzazi wako amelazwa. Anakujibu
"Pole. Nitumie ile pesa kwenye namba hii 06xxxx7654...
Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama...
Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro.
Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
Daaaah!
Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video.
Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli?
Utu uko wapi?
Ubinadamu uko wapi?
Tena hii kitu inarushwa LIVE kabisa, na mashabiki wa kutosha ukumbini.
Aisee, utafutaji mgumu sana.
Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa.
Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha kuwakamata baada ya kuwa wamezuliliwa kupata chakula kwa miezi kadhaa.
Ndipo ushirikiano huo ulipounda...
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump
****
NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA
"Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale.
Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki...
Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu.
Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda.
Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
Njia ile ni nyembamba...