Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umepigwa katika shambulio la makombora, vyanzo vya usalama vya Iraq vimeiambia shirika la habari la Reuters leo Jumamosi.
Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, shambulio hilo limesababisha moshi kuonekana ukipanda kutoka katika jengo la Ubalozi huo...
Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, umeshambuliwa na ndege mbili zisizo na rubani na kusababisha moto mdogo katika eneo la makazi ya kidiplomasia, kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia.
Shambulio hilo lililotokea mapema Jumanne pia lilisababisha uharibifu mdogo...
Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi.
Nasubiri nione wa huku uswahilini na wao wakiliamsha.
===================...
Moderator Active heading iwe 1998 tafadhari
Khalfan Khamis Mohamed
Alijiunga na al-Qaeda na alipata mafunzo ya wanamgambo nchini Afghanistan kabla ya mashambulizi.
Alihusika moja kwa moja katika operesheni ya Dar es Salaam. Mohamed inaripotiwa alikusanya bomu (akisaga vilipuzi vya TNT na...
Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania?
Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais.
Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8.
Nani anaficha ukweli.
Hii picha waliotoa angalia
Wakuu,
Kuna onyo hapa kutoka Ubalozi wa Marekani Tanzania.
Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni wamesema maandamano yaliyopangaa kufanyika Disemba 9 huenda yakawahi yakaanza Disemba 5
Kwa hivyo imeonya raia wake kuchukua tahadhari ili wasiwe wahanga
=========
There are ongoing calls for...
Ubalozi wa Marekani umeandika katika ukurasa wake wa X
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya injini za TAZARA zina nembo ya ushirikiano ya Marekani? Reli ya Tanzania–Zambia ilifunguliwa mwaka 1976 kwa lengo la kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka miwili tu baadaye—mwishoni...
Tukio: Marufuku ya kutotoka nje kitaifa bado ipo kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi. Katika maeneo fulani ya Dar es Salaam, vyombo vya ulinzi na usalama vinaripotiwa kuimarisha udhibiti wa harakati za watu. Huduma ya intaneti bado imezuiwa, jambo linalosababisha ugumu katika mawasiliano na...
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari.
Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
CCM imezalisha vijana wa hovyo sana
Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi
Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa).
Utaratibu uliopo...
Anonymous
Thread
katika
kusafiri
mahojiano
maombi
marekani
tanzania
ubaloziubaloziwamarekani
upande
utaratibu
vibali
Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani.
Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
Muda si mrefu na ban za safari zitakuja, mama yupo zake kimya, kama vile haya mambo hayamhusu, ndio kwanza anafurahia kutegenezewa program za uchawa! Mambo yanaenda kuwa magumu kwetu Trump effect huenda ikaongezeka na kwa wengine na ikawa kali zaidi.
====
Marekani imesikitishwa sana na...
Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini alishindwa na wakamdhibiti bila madhara yoyote makubwa kuripotiwa.
==
Tarehe: 15 Mei, 2025
Mahali...
TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO
DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA
Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
Ukata wa taifa la Marekani kutokana na kujhusisha na vita kwa muda mrefu unazidi kudhihirika katika azma ya utawala wa Trump kutaka kufunga balozi zake kadhaa kote duniani.
Balozi hizo nyingi zipo barani Ulaya na Afrika.Baadhi ya balozi hizo za Ulaya ni pamoja na Ufaransa na Ujerumani miongoni...
Kutokana na kuongezeka kwa vurugu katika jiji la Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ubalozi wa Marekani huko Kinshasa umewashauri raia wake kujificha na kisha kuondoka kwa usalama wakati patakapokuwa na njia za kibiashara.
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi huoJanuari 28, 2025...
Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration."
Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.