Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi alisaini amri yenye nguvu ya sheria siku ya Jumamosi kuanzisha mahakama maalum itakayoshughulikia makosa ya kiuchumi na kifedha kama vile rushwa na utakatishaji fedha.
Kupitia amri hiyo, mahakama maalum ya jinai imeanzishwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, Kwa mujibu wa Kanuni ya 37(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS kuwapumzisha kutekeleza majukumu yao watumishi 14 wa Halmashauri hiyo...
Makamu wa rais RT asimamishwa uongozi mara moja kupisha uchunguzi wa ubadhifu wa fedha za shirikisho hilo.
Dola elfu 55 (55,000) za kimarekani.
Jamaa amekula zaidi milioni 130 zilizotumwa na shirikisho la riadha la dunia (WA).
Wawili wafukuzwa Skauti kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha
Jumatano, Mei 07, 2025
Mwenyekiti wa Bodi Skauti Tanzania Rashid Mchatta akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani leo Mei 7, 2025 makao makuu ya Skauti jijini Dar es Salaam
By Mintanga Hunda
Dar es Salaam.
Chama cha...
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha...
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha.
Tumechagua viongozi kwa...
Marais wa Afrika ni walewale, uchawa na ujinga kila sehemu😹🤣🤣
====
Raia wa Ghana wametoa malalamiko yao baada ya Rais wa Nchini humo, Nana Akufo-Addo, kuzindua Sanamu yake iliyojengwa kwa kutumia Dhahabu katika Ukanda wa Magharibi mwa Nchi hiyo.
Waziri Kwabena Okyere Darko-Mensah, amesema...
Hongera Waziri Bashe.Hakuna kuchekeana Wala kuoneana huruma kwa mafisadi wote bila kujalisha hadhi Yao.
My Take: Wakulima ungeni mkono juhudi za Waziri Bashe kupambana kuinua Kilimo.
Kazi iendelee,ajenda 10/30.
---------------
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa agizo la kushikiliwa kwa...
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi.
Aidha...
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!
Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma.
Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na inaonekana Raisi hajali kabisa hilo, yeye upigaji sio jambo linalo muumiza kichwa wala kumkosesha...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo".
Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.