uadui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania CCM wametengeneza uadui na Wananchi badala ya kubakia wa vyama tu kitu ambacho ni hatari zaidi wajitafakari

    Kipindi cha Magufuli madarakani alivipiga pin vyama vya upinzani lakini moja kati ya kitu alikiweza ni kugusa raia wengi hasa wale wa Hali ya chini na ndio maana akawa anasapoti kubwa ya watu akifanya Mambo mengi makubwa kulikuwa hakuna suala la kukatika umeme na ikitokea lazima uone Taarifa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Upinzani wa fikra sio uadui

    Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uadui wa kisiasa. Zambia yawa Nchi ya kwanza kwa Raisi wake mstaafu kuzikwa Nchi nyingine

    "Siku nikifa mpinzani wangu Hichilema, asishiriki maziko yangu Wala kuukaribia mwili wangu" Familia ya Rais wa Zamani wa Zambia Edgar Lungu Yatangaza Atazikwa Afrika Kusini Baada ya Mvutano na Serikali Familia ya rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imetangaza kuwa atazikwa nchini Afrika...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukijua tu una uadui au ni mkosoaji mkubwa wa Serikali yoyote duniani tafadhali epuka sana kufanya hili Kosa Kubwa la Kiufundi, kwani Utaondoka tu

    Kwa mfano labda wakipanga Njama zao za ama Kukujeruhi au Kukumaliza (Kukuua) na wakakukosakosa jitahidi sana kama ukipata Msaada wa haraka wa Kukimbizwa Hospitalini kwa Matibabu basi jitajhidi mno hiyo Hospitali unayopelekwa iwe ni SIRI kwa Watendaji huwa na Mawakala wao karibu katika Hospitali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chaguzi si uadui tujifunze kwa wenzetu waliko busy kugawa upendo. Trump apika na kugawa chipsi mgahawani!

    Chaguzi hushindwa kwa kuwavutia wapiga kura: Chaguzi hazishidwi kwa shinikizo au wizi: Kuna ya kujifunza hapa kama tuna macho lau masikio!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda binti yao lakini wazazi wake walikuwa na uadui wa miaka 16 na mama yangu

    Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma 1.ugomvi wa visima vya maji Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
  8. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Sheria ya 15:- Mponde adui yako kisawa sawa

    Hii ni Sheria ya 15 kati ya Sheria 48 za mamlaka zilizoandikwa na mwandishi ROBERT GREENE katika kitabu chake kiitwacho THE 48 LAWS OF POWER. Sheria hii imesema; CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY, yaani mponde adui yako ipasavyo. Bila shaka mtu anayejitafuta kwenye maisha ni lazima awe na maadui. Kama...
  9. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Usimhukumu adui yako, huenda yeye ndio sababu ya uwepo wako

    Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi. Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
Back
Top Bottom