Mara nyingi watu wanaojaribu kuishi kwa uadilifu, kanuni na heshima ndio wanaopitia majaribu mengi zaidi.
Kisaikolojia, hii sio bahati mbaya. Maisha yana tabia ya kuwajaribu zaidi wale wanaojaribu kusimama imara kwenye misingi yao. Ni kama chuma kinavyopitia moto mkali ndipo huwa imara zaidi...
WAZIRI KOMBO ASISITIZA UFANISI NA UADILIFU KWA WATUMISHI WA WIZARA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasisitiza watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi, uadilifu...
Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.
Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna wanavyosimamia mchakato wa ajira kwa uharaka, uwazi na weledi mkubwa. Hili ni jambo la kuigwa...
Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026...
Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki.
Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
Imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa “balozi” wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM atoweke. Tukio hili, kwa wengi, lilikuwa tone la mwisho kukata kabisa imani yoyote kwamba CCM bado ni chama kinachoendeshwa na mijadala ya wanachama wake na think tanks...
Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA.
Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM?
Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
KIAPO SIO SABABU YA KUFANYA DHULMA NA UHALIFU. MTU ASITUMIE KIAPO KAMA FIMBO YA KUKUGEUZA WEWE UFANYE USHETANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unapoapa apa kiapo cha kutetea Haki. Kupinga dhulma. Kama ni kulinda nchi utaapa kuilinda kwa Haki.
Kama ni kumlinda Kiongozi utaapa kumlinda kwa...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa ajili ya kupata shukrani na fadhila za kisiasa.
Amesema kwa maoni yake, Kamati ya Amani Zanzibar...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida.
Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa.
Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
ARUSHA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii.
Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua.
Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine...
Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao
Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri
Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa kusababisha mkanganyiko kwa kukosa uadilifu katika kutekeleza majukumu yake.
Waziri Ndejembi ametoa...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi.
Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.