twaha mwaipaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    CHADEMA isipojirekebisha, ina hatari ya kuwa kama kuku aliyekatwa kichwa

    Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Twaha Mwaipaya: Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana

    Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika kuibiwa kura zake, 2000 CUF pia walilamika, 2015 ndivyo hivyo 2019 katika uchaguzi wa serikali za...
  3. M

    Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

    Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa: Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana. Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
  4. McLaren

    Twaha Mwaipaya: Kijana Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kushikiliwa kwa zaidi ya wiki 3

    Wakuu, Huyu kijana Ramsi alipotea siku chache kabla ya maandamano naona kwa sasa amerudi tena. Twaha Mwaipaya wa CHADEMA anasema Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kuishilikiwa huko kwa zaidi ya wiki 3 na alichiliwa siku ya maandamano. Najiuliza tu hivi unawezaje kumuweka mtu ndani...
  5. McLaren

    GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

    Wakuu, Hizi ni taarifa ambazo zimepostiwa na kada wa CHADEMA Twaha Mwaipaya Huyu alikuwa ni mgombea Ubunge Taarifa Zaidi Kutoka Kwa Maria Sarungi
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Twaha Mwaipaya: Kijana Jerison Keraliyo miaka 18 ametekwa Kishili center Mwanza, jana Oktoba 9, 2025

    Hali imezidi kuwa mbaya! Watekaji wamekuwa kama wafalume katika nchi, kufanya ukatili na kupoteza watu kila siku. Kijana mdogo kama huyu mnamteka kwa lipi hasa. Nyie watekaji acheni ushamba! ================ Anaitwa Jerison keraliyo. Umri miaka 18 Mkazi wa kata ya kishili Mtaa kishili B...
  7. R

    Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda, hatupo salama, chukua hatua hizi

    NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA. NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA .1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Twaha Mwaipaya: Karibia mwili mzima umevilia damu, kukaa siwezi nalalia ubavu, yote haya ni kwasababu nilienda Mahamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. Mateso yote haya ni kwasababu nilienda Mahamani kufuatilia kesi ya Uhaini ya Mchongo aliyopewa Mh. Tundu Lissu, nikakamatwa Mimi na wenzangu 8 tukapelekwa pori la UNUNIO tukateswa kisha tukaenda kutupwa mbuga ya wanyama ya Pande...
  9. figganigga

    PreGE2025 John Pambalu, Twaha Mwaipaya, Lucas Ngoto na wanachama kadhaa wa CHADEMA wapigwa na Polisi na kutupwa Bagamoyo

    1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi. 2. Twaha Mwaipaya. 3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti. 4. Na wanachama wengine Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
  10. Peter Dafi

    Twaha Mwaipaya acha nikusaidie kidogo

    TWAHA MWAIPAYA ACHA NIKUSAIDIE KIDOGO. Na. Peter Dafi. Bukene, Nzega, Tabora. Ulipokuwa Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora Ulisema Pesa za Kufa na Kuzikana za Jeshi la Polisi Zimeliwa na CCM. Huo ni Uwongo na Acha Nikujuze kuwa Hakuna Mkono wa CCM au Mwana CCM umeshika Pesa za Jeshi la Police...
  11. chiembe

    Baada ya kufuatilia kwanini Twaha Mwaipaya ameng'ang'ania ofisi za CHADEMA baada ya uongozi wake kuisha, kumbe biashara yake ni kufuga njiwa

    Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema. Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama. Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa...
  12. S

    Kauli za akina Tundu Lissu, Boniface Jacob, Twaha Mwaipaya, Mdude Nyagali, Pambalu, Sativa, Heche ndizo zimesababisha 4R kusahaulika

    Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana. Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
  13. Erythrocyte

    Happy Birthday Twaha Mwaipaya

    Pamoja na kwamba umewekwa kwenye ile orodha ya "sisimizi' lakini hujakata Tamaa, Umeendelea kuwaelimisha Vijana wa Tanzania kwamba kumbe wao wanaweza kuishi bila kuwa Chawa wala bila kuwa ngazi ya wengine kupandia. Umefunua uchafu mwingi sana kutoka kwenye mambo mengi mno, hadi ukawekwa...
Back
Top Bottom