tuzogoe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

    Imeshakutokea ukawa na mpenzi ambaye wakati unakutana naye ulifikiri ni mpole na atakua hana mambo mengi kitandani, lakini mlivyokutana kwenye mechi akafanya jambo la kukushangaza mpaka hukuamini kwamba kweli ni yeye? Umeshawahi kuwa kwenye mahusiano au kupenzika na mtu ambaye umepishana naye...
  2. Hakuna marefu yasiyo na ncha - karibu tuzogoe!

    Wiki imekua ndefu na mpaka tumalize huu mwaka tutaona mengi. Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania kwa sasa inakupa hisia zipi? Vipi nini kimekufurahisha au kimekukera wiki hii? Matarajio na malengo yako ya mwaka 2025 yanaendaje? unatoboa? Muulize mwanaJF yoyote swali la kizushi, utajibiwa.
  3. Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

    Wale ambao kibaruani pasua kichwa, home napo kupo kama hakupo, siasa na mambo ya nchi yanatuumiza vichwa na mioyo - tukutane hapa tubadilishane mawazo. Kama unajisikia kujibu maswali, fanya hivyo. Kama hutaki, utakua umetumia vizuri uhuru wako wa kuchagua! Ukipewa nafasi ya kumuondosha...
  4. Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

    Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa! Mimi naanza na hawa; Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje? cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya...
  5. Naitaka yeye ananikatalia - njooni tuzogoe!

    Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya. Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe. Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera? Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi? Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au...
  6. Tuzogoe: Naweka hapo juu juu tu, ni uongo

    Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia. CC: uzuri_hatujuani Castle_Lite secretarybird 50thebe Poor Brain Khanji kapoor
  7. Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

    Nyuzi ya kutambua waliotufurahisha kwenye majukwaa ya JF kwa nyuzi walizoandika au majibu waliyotoa kwenye replies ndani ya wiki hii. Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…