Imeshakutokea ukawa na mpenzi ambaye wakati unakutana naye ulifikiri ni mpole na atakua hana mambo mengi kitandani, lakini mlivyokutana kwenye mechi akafanya jambo la kukushangaza mpaka hukuamini kwamba kweli ni yeye?
Umeshawahi kuwa kwenye mahusiano au kupenzika na mtu ambaye umepishana naye...
Wiki imekua ndefu na mpaka tumalize huu mwaka tutaona mengi.
Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania kwa sasa inakupa hisia zipi?
Vipi nini kimekufurahisha au kimekukera wiki hii?
Matarajio na malengo yako ya mwaka 2025 yanaendaje? unatoboa?
Muulize mwanaJF yoyote swali la kizushi, utajibiwa.
Wale ambao kibaruani pasua kichwa, home napo kupo kama hakupo, siasa na mambo ya nchi yanatuumiza vichwa na mioyo - tukutane hapa tubadilishane mawazo.
Kama unajisikia kujibu maswali, fanya hivyo. Kama hutaki, utakua umetumia vizuri uhuru wako wa kuchagua!
Ukipewa nafasi ya kumuondosha...
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!
Mimi naanza na hawa;
Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?
cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya...
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?
Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au...
Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia.
CC:
uzuri_hatujuani
Castle_Lite
secretarybird
50thebe
Poor Brain
Khanji kapoor
Nyuzi ya kutambua waliotufurahisha kwenye majukwaa ya JF kwa nyuzi walizoandika au majibu waliyotoa kwenye replies ndani ya wiki hii.
Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.