tupendane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

    Dini yangu Muslim Makazi dsm Mwanamke nimtakaye awe anaishi dar Asiwe mwanamke wa mambo mengi Asiwe na mtoto.
  2. DuaZaMama

    Tundu Lissu: Mnataka tupendane, turidhiane na wakati waliofanya uhalifu mnawapandisha vyeo

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya...
  3. S

    Nimechoka kuwa single ,nahitaji mpenzi tupendane kwa dhati.

    Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke Vigezo vya nimtakae ni hivi. 1 Awe anaishi dar 2 Asiwe na mtoto. Dini sibagui Mimi pia naishi dar Umri wangu 33 Dini yangu muslim.
  4. Pascal Mayalla

    Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

    Wanabodi Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。 Mada ya leo ni kufundisha kuhusu...
  5. Pascal Mayalla

    Amri Kuu ni Upendo. Kwaresma Hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania Tupendane, Tuonyeshane Upendo Kama TotalEnergies Inavyofanya

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo. Safu ya Kwa Maslahi ya Taifa, inazungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, kwa vile sasa tumeingia kipindi cha Kwaresma, mfungo wa siku 40 kwa ndugu zetu Wakristo na mfungo wa mwezi...
  6. Unique Flower

    Tupendane humu tuache majungu

    Tupendane wadau wa humu tuache majungu. Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa . Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane ...
  7. OZILY

    Madam, karibu tupendane

    Nahitaji mwanamke msichana ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe. Mimi Nina miaka 32 Mjasiriamali Mkazi wa Dar es salaam. Mkristo Mnene kiasi,maji ya kunde + Mwanamke ninayemhitaji awe kawaida tu mwenye rangi yake ya asili, ambaye anapenda...
  8. C

    Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata. Naitwa...
  9. Naipendatz

    Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    "Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi. Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa...
Back
Top Bottom