tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

    Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai, Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania. Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishachaguliwa na Mungu anapendwa tu na Wananchi, CHADEMA inapendwa na Wananchi, anayehama atapotea, anayehamia CHADEMA atainuliwa

    Wakuu nadhani hili tuliweke sawa. Hivi mnajua TUNDU LISSU ni mpakwa Mafuta wa Mungu!? Huyu Mh yeye anapendwa tu yaan yeye hata asingeshinda Uenyekiti akahama chama au akaanzisha chama chake, Wananchi watamfuata tuu na bado atakua tishio. CHADEMA inapendwa na Wananchi , kwahiyo Kiongozi akiwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania tumebarikiwa viongozi mahiri, kumbe Tundu Lissu ni maarufu kiasi hiki?

    Salaam! Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa, Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi. Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameamua kugoma kula ili kushinikiza hukumu ya mahakama badala ya kukata rufaa. Madhara ya kutokula au kunywa yatakayompata haya hapa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Njaa haimpendezi mtu kama nguo, Tundu Lissu akigoma kula msihangaike naye, atakula mwenyewe

    Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa. Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge wa umoja wa ulaya waonyesha mshikamano na Tundu Lisu

    Sauti zinasikika Hadi European union
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukamatwa na kuswekwa Lockup ni Kisa cha Mwenyezi Mungu Mwenyewe. Ndugu zangu msife moyo

    Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe. Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako. Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa walishangaa sana. Walidhani Mtoto wao wa Kiume amechanganhikiwa kwenda kuoa kwa Watesi wao. Lakini jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

    Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu. Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria. Ametoa mifano kadhaa kwamba; 1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma)...
  13. JamiiForums Tanzania Question to Authorities Regarding the Use of Force During Tundu Lissu’s Court Hearing

    Was it truly necessary for the Tanzanian police to use such force to disperse citizens who had peacefully gathered to show support during the court hearing of Tundu Lissu? Given the reported injuries and death how do you justify this action in the context of citizens' constitutional rights to...
  14. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu? Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tegemea 24/04/2025 Tundu Lissu kutoletwa Mahakamani au Jaji kutokomea pasipojulikana

    Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba. Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  18. JamiiForums Tanzania Giza nene alipo Tundu Lissu, Magereza wasema wanafuatilia

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kusisitiza kuhusu msimamo wake wa Jana Aprili 18, 2025 wa kulitaka Jeshi la Magereza na Vyombo vingine vya Dola kueleza kwa "haraka" alipo Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, wakieleza kuwa mara baada ya saa 24 kupita...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Kukamatwa kwa Tundu Lissu kumeipasha Chadema

    Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu, Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
  20. JamiiForums Tanzania Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

    Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha. Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…