tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Shujaa Mtanganyika Tundu Antipas Lissu

    Shujaa wa Tanganyika 👇
  2. JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

    Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa. Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
  3. JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu alivyotabiri Kwa usahihi hiki kinachotokea sasa!

    Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea! Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania. Msikilize. 👇 Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  9. JamiiForums Tanzania Free Tundu Lissu Song

    https://youtu.be/-XTSbsRSCZE?si=xmjmw5AFhFe1ayAm
  10. JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  11. JamiiForums Tanzania Imekuaje Kesi ya Pili ya Tundu Lissu kuhusiana na Uchochezi hairushwi live?

    Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

    Muda huu kesi ya Tundu Lisu inarushwa na ITV Mubashara.
  13. JamiiForums Tanzania Gwaji boy katumwa kutuhamisha kwenye kesi ya Tundu Lissu na Chadema. Shitukeni

    Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu. Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
  14. JamiiForums Tanzania Sikilizeni wimbo huu Free Tundu Lissu!

    Hii ni moja ya nyimbo ikieleza hisia na kusisitiza kuachiwa uhuru Tundu Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
  15. JamiiForums Tanzania Mama Sikiliza Mahubiri ya Kipindi Hiki Kuhusu Anachofanyiwa Tundu Lissu

    Kama utaendekeza falsafa God bless Tundu Lissu
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  17. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuchaguliwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti IDU

    UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA! Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama na Misuse of Power: Uhalisia wa Kuvunjwa kwa Haki za Kikatiba kwa Kesi ya Tundu Lissu

    Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
  19. JamiiForums Tanzania thought experiment - Tundu Lisu &Co. waingie CCM!

    nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya system klk nje yake? kwa jinsi mfumo tanzagiza ulivyo ni ngumu kuamini kwamba unaweza kulazimisha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

    Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala. Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…