Habari jJF, Tundu Lissu na Hayati JPM wana sifa kuu mbili:-
1. Ni watu wenye misimamo
2. Wote hayati Magufuli na Tundu lissu ni wafia Nchi .
Kwa maana rahisi hawa watu wawili ni alama ya Uzalendo vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Tukitengeneza kizazi kizalendo tutapata suluhu ya mambo...
Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa.
Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo.
Huu...
Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni...
Habari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
2. Rostam Aziz yeye...
Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari..
Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake
• "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu
• "Kwa jinsi mkataba huu...
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
bandari
dp world
kijana
kuhusu
kulalamika
kulialia
lissu
lisu
maaskofu
mkataba
mungu
mzalendo
profesa
rais
samia
tanganyika
tanzania
tundutundulissutundu lisu
uhaini
usingizini
waarabu
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikuwa mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. Kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala...
TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI?
Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha...
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and
white can never be red.
Huyu bwana yuko very persistent, determined and self motivated.
Hatimaye na wao wameona wasipitwe isije kuwa Maua wakapewa wengine na wao kwakakosa hata...
Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu.
Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano.
Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
Huo ndio Ukweli japo ni mchungu
Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote
Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo
Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto"
Jumatano iwe Njema kwako, amen!
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda...
Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
Habari JF,
Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala.
Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono.
Nasema NCCR Mageuzi...
Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa huo ulitelekezwa kwa miaka mingi kwenye ujenzi wa barabara.
Hata hivyo mara baada ya Dr Mpango kuwa...
Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma...
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi na kutukanana.
Ndio maana anaona kwamba wenzake wanapoenda katika maridhiano, ni kama "wanamchimbia...
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.
Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa...