tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani. Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
  2. JamiiForums Tanzania Ugumu na uzito wa kupandisha tukio la Tundu Lissu unatoka wapi?

    Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa. Sio yeye tu nadhani hata wasimamizi wa CHADEMA blogs za chama na mabaraza ya chama kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

    Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi. Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA TV Haikurusha Live mkutano wa Tundu Lissu wakati ilialikwa?

    Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea? Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko Nyerere ?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lissu na Mbowe kama vile Uhuru na Ruto: Je, CCM wanaweza wakaruhusu uchaguzi kama wa Chadema kwa Mwenyekiti?

    Nimependa na kukubali sana hatua ya Lisu kugombea uwenyekiti. Anagombea akija na siasa za akina Dr. Slaaa. Anaibuka siku moja baada ya kuwa meza moja na mwenyekiti. Natamani kumwona nani atasimama nafasi ya makamu mwenyekiti Mchuano huu unakwenda kufukua mjadala. Namwona Odemba ameanza...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere ampongeza Tundu Lissu kwa Uamuzi wa Kugombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa ‘Mama Ongea na Mwanao,’ Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, amempongeza Tundu Lissu kwa kutangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA, akisisitiza kuwa ni haki yake kikatiba mradi anazingatia miko na katiba ya chama. Kupitia ujumbe aliouandika...
  7. JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizun

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12,

    Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12, 2024, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alieleza kuwa Freeman Mbowe ameongoza chama kwa muda mrefu...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Mchungaji Peter Msigwa ni rafiki yangu, lakini nitamkabili Kisiasa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ashauriwe kutogombea tena uenyekiti wa CHADEMA, siasa ni muonekano (perception) kwanza

    Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya press hii ya Lissu, ataendelea kuwa CHADEMA au watamtimua? Akifurushwa unadhani ataenda kujiunga chama gani?

    Wakuu, Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana za leo Lissu kaamua liwalo na liwe. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Mtasubiri sana...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Anayechukizwa mimi kuwa Mwenyekiti aelimishwe

    Mwanachama wa CHADEMA au Mtu mwingine yoyote anayeona ajabu, au anayechukizwa au kukwazwa na nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chama chetu atakuwa ama hajui au amesahau au hataki kuenzi na kuendeleza urithi tulioachiwa na Wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani wa kuachiana madaraka ya...
  13. JamiiForums Tanzania KUTOKA KWA TUNDU LISSU

    "Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa" Mh. Tundu Lissu
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa. "Haikuwa rahisi kwangu kufikia uamuzi wa kugombea nafasi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Naona moto utawaka sana katika uchaguzi wa CHADEMA kama Mbowe naye atagombea nafasi hiyo. Je, Mbowe atauweza muziki wa Tundu Lissu?

    Leo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho. So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama akitangaza nia hiyo basi naona ndani ya CHADEMA moto wa kisiasa utawaka sana. Soma Pia: Tundu Lissu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania TUNDU Lissu, nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA na ugombea Urais haviendi pamoja, utaachia ipi?

    Habari! Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea, Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie, Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya 1. Ugombea Urais 2025. 2. Uenyekiti wa chama Taifa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini Frank Nyalusi asema huu ndio wakati muafaka wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa, vinginevyo ni majanga

    Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini Mh Frank Nyalusi amesema yuko Dar es Salaam kwa shughuli moja tu ya kuhakikisha Tundu Antipas Lissu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nyalusi amemwambia Mwandishi wa Jambo Media kwamba Siasa za Tanzania kwa sasa hazitaki tena kiongozi anayeongea kwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo. Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania Bora Dkt. Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge - Dr Kikwete 2010

    Hii ni kauli isiyosahaulika toka Kwa Mwenyekiti wa 4 wa CCM na Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania Dr Jakaya Mwisho Kikwete aliyoitoa mwaka 2010 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Alitoa kauli hiyo kuonyesha Jinsi ilivyo ngumu kudeal na Tundu Lissu kama kiongozi mpinzani kuliko yeyote akiwemo Dr...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…