Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
Wakuu Salaam
Nimekutana na Taarifa kuokea Akaunti ya Mtandao wa X ukiwa na Post inayppnekana kuwa ni ya Robert Amsteram (Mwanasheria wa Tundu Lissu) akitoa maoni kuwa kwa sasa CHADEMA inatakiwa imruhusu Lissu kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa chama:
je kuna kuna ukweli hapa?
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya chama na nje.
Mkakati uwe ni kufanya mambo ya ustawi zaidi za jamii. Watanzania ni werevu sana na...
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea...
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
TUNDU AM LISSU-MTIA NIA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Tanzania ni yetu sote!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda...
Wakuu,
CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025?
====
Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika.
Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Wanajamvi salaam
Leo nimekutana na hii taarifa inasema Tundu Lissu amesema hakubaliani na lolote litakalozungumzwa na Mbowe, nafikiri haya yanaibuka baada ya vikao vya kamati kuu ya CHADEMA, Je ni uhalisia katika taarifa hii wakulungwa?
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi.
..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM.
..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .
Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.
Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
Ni upi uhalisia wa video hizi mbili ambazo nafikiri zimetokana na mahojiano ya Jambo TV na Tundu Lissu kuwa amekiri kuwa migogoro ndani ya chama ndiyo chanzo cha kushindwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Ndugu zangu Watanzania,
Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda watanzania ni vichaa na mambumbumbu.
Hivi inaingia vipi akilini kwa mtu mwenye akili Timamu na...
Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana.
Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema yeye binafsi hajutii kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji uliofanyika jana Novemba 27 2024.
Lissu ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na jambo TV akisisitiza "sijutii nimejifunza angalau mimi nimejifunza kwamba...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu, akielezea hali waliyokutana nayo wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Tarafa ya Ikungi, wilayani Ikungi mkoa wa Singida, leo Novemba 26, 2024.
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari huko Singida kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Lissu akiwa anazungumza leo Singida amesema kuwa CHADEMA itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa haki na hata kukiwa na bunduki pamoja na magari ya vita bado tu watashinda.
"Nyie Mapolisi...
Wakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
Wakuu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea
Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je, ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo nje ya nchi yaweza kuwa Sababu?