tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani inaweza kuuza sana ukitumia jina la Tundu Lissu?

    Wakuu kwa jicho la kibiashara jina la Lissu ni brand inayoweza kuuza kwa hapa bongo. Unadhani ni bidhaa gani inaweza ku-fit hilo jina na kufanya vyema sokoni? Binafsi nimefikiria pombe kali na energy drinks. Pia mashine, mabati, nondo na bidhaa zingine jamii ya chuma
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mbeya wamuonya Sugu na wenzake wasipomchagua Lissu, Dkt Tulia atapita bila kupingwa

    Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli. Zikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia kilele Cha Uchaguzi ndani ya CHADEMA mnyukano ni mkali kati ya Lissu na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ukishashinda uchaguzi wa uenyekiti, tuombe radhi kwa kumtukana Hayati Magufuli tukupe nchi

    Hatuna shaka na uzalendo wa Lisu wala misimamo yake katika kukataa Rushwa, chama kikiwa mikononi mwake ukombozi wa kweli wa Taifa utapatikana. Magufuli alitenda Mengi Mazuri lakini kama ilivyokawaida ya binadamu hakuna aliyekamilika mazui yalikuwa mengi kuliko Madhaifu, Lissu mara baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

    Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama. Bimkubwa usalama wako ni...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: BAWACHA kama mnataka fursa za uongozi Bungeni au Udiwani mchagueni Celestine Malley-Simba

    Anaandika Tundu AM LISSU. ==== " Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA kama wewe unataka au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu akishinda tunatarajia CCM italazimika kuibua akiba yake ya makada wenye akili. Machawa nafasi yao inaweza kuwa hatarini

    Tupo salama wote! Wakati CCM ipo Kimya ikiangalia yanayoendelea CHADEMA na mara kadhaa kwa Siri huenda ikijihusisha na mambo hayo kuyaingilia. Ikiwa Mbowe atashinda hakuna mabadiliko yoyote ambayo CCM itafanya. Mbinu zitakazotumika zitakuwa zilezile walizotumia kwa Miaka 20 kwani Mbowe ndiye...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mbeya: Mkituletea Mbowe Chama kinakufa

    Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kumchagua Tundu Lissu ili aweze kushika wadhifa huo. Wakizugumza katika mkutano na...
  8. JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu Edo amesema “ningekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

    Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa. Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania. ========================= Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninahofu kuhusu uchaguzi mkuu wa CHADEMA lakini dawa ni moja tu

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A.M. Lissu amesema kuwa ana hofu kubwa juu ya mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika juma lijalo. Lissu ameyasema hayo katika kipindi cha runinga cha Crown Media kijulikanacho kama Kasri la Kikeke kilichoongozwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wazo Langu: Hii itakuwa hotuba ya Tundu Lissu baada ya uchaguzi CHADEMA

    HOTUBA YA TUNDU LISSU BAADA YA KUSHINDWA NA MWINYEKITI FREEMAN MBOWE KATIKA UCHAGUZI WA NDANI Ndugu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Ndugu viongozi wa chama, wanachama wenzangu, na Watanzania wote, Kwanza kabisa, nataka kutoa pongezi zangu za dhati kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Sera ya ukomo wa madaraka itapiga spana na kuathiri vipaji ya vijana. Wazee kama Tundu Lissu hawataathirika

    Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano vizivyozidi viwili. Ukiitafakari sera hiyo utagundua kuwa kiuhalisia wenye umri kama wa Tundu Lissu, sera...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  14. JamiiForums Tanzania Andrew Mwambeje: CHADEMA imefika hapa si kwa sababu ya Mbowe wala pesa zake, bali ni juhudi za wanachama wote

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho. Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe akishindwa uchaguzi atabaki kama mjumbe wa kamati kuu. Je Tundu Lissu?

    Sijui katiba inasemaje imenshtuaa Leo wakati Odemba WA Star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo Vipi Mbowe MH akishindwa Itakuwaje? MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu Alipoulizwa vipi kuhusu Tundu Lissu akishindwa akajibiwa atabaki kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti

    Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi. Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-namuomba-mbowe-apumzike-amuachie-lissu-afanye-kazi-ya-uenyekiti-chadema.2297060/...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

    Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama. Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA "Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Tundu Lissu zinadhihirisha usomi wake. Kamuibua Amilcar Cabral. Wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa wanamjua?

    Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake. Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana. Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake. Msikilize...
  20. JamiiForums Tanzania Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?

    Wanabodi, bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…