tundu lissu

  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiuhalisia hatukumuelewa Hayati Magufuli, kwa sasa hakuna namna tumuelewe Tundu lissu . Wakati wa ukombozi ni sasa

    Kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili ni wazalendo wa kweli . Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani sana kuona Tanzania ikisonga mbele , kwa sasa tuna Tundu lissu kimtazamo hana tofauti na JPM ...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TUNDU LISSU, wewe ni mwanasheria, Watia Nia G-55 Si lazima wagombee kupitia CHADEMA, wanataka kulitumia jina la chama Kwa Masilahi yao, WAFUKUZWE

    Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election. Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe DAU zaidi . Kwa Lugha nyingine, zile kelele za kukushambulia huku Mbowe akisifiwa na kumwagiwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe

    Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team iliyojitanabaisha kuwa ni team Mbowe wakati wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu. Kama...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Tundu Lissu wafute uwanachama wajumbe 55

    Kwanza ni matapeli Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!! Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama walivyovuta mwaka Jana na kufeli vibaya Project part two inaendelea Lissu na Heche msicheke na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu yuko tayari kuumizwa na hata kufungwa jela kama Mandela na wapigania uhuru wengine

    Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no reforms, no election." Liissu anafahama kabisa ili kuiondoa CCM madarakani, ni lazima wawe tayari...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nayaona haya kwa Tundu Lissu na CHADEMA nikiwa kama 'political strategist'

    Nikiwa kama 'political strategist' nimetafakari na kuchambua hali ya siasa za upinzani hususani CHADEMA kuelekea uchaguzi Mkuu na nimeona yafuatayo: Kwanza ,nimeona kuwa upinzani wote watashiriki uchaguzi kikamilifu na kwa kiwango kikubwa. Hapa CCM haitakiwi kubweteka na wanajipanga kwa mbinu...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasaka Tonge, Mmemlazimisha Tundu Lissu Leo kutoa Siri ya kwanini Anapigania Mgawanyo wa Majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Mmewasanua CCM!

    Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na Upinzani wa kawaida, Sheria hiyo iliondoshwa Si Kwa sababu Kura nyingi zilikua Mjini , La Hashaa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongera Lissu kwa kuleta mabadiliko ya Uongozi nafasi ya M/kiti ,utatosogeza mahali Ila bado CHADEMA inahitaji kiongozi kumalizia kazi

    Nilijizuia kulisema hili muda mrefu Ila niweke wazi maana naona inazidi kudhirika nilichokuwa naona kuhusu mh Lisu. Kiu yetu kubwa ilikuwa kwanza mabadiliko ndani ya chadema haswa nafasi ya juu ili kufanya Chadema kufanya kazi Kama mfumo sio one man show. Huo ni ushindi mkubwa kwa Lisu wapenda...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike. Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu kataza wafuasi wako kutumia jina la Soka kujijenga kisiasa. Mwacheni Mbowe apumzike

    Lissu kataza awa wafuasi wako kuendelea kutumia jina la Soka kufanya siasa chafu za chuki. Mnawaumiza ndugu zake Soka kuendelea kutumia maswahibu yaliyomkuta huyu kijana kupata uungwaji mkono. Waoneeni huruma ndugu zake walio kwenye majonzi. Wakati wa kampeni mlisema mkipata madaraka...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ya kusogeza uchaguzi mbele hadi 2027

    Katika kuweka malengo huwa unabidi usiangalie muda Ila unabidi kuangalia njia sahihi ya kutimiza hayo malengo. Kutoa miaka mitatu ya kujipanga kuandaa reform , kuandaa katiba Mpya sio mbaya maana ukisema uingie katika uchaguzi bila reform yoyote wala katiba Mpya unakuwa umefanya Kazi bure Hvyo...
  13. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania wengi hasa wabunge na madiwani wameipokea kwa shangwe hoja ya Tundu Lissu Uchaguzi ufanyike 2027 baada ya reforms zote kufanyika

    UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA pamoja na chama cha ACT Wazalendo wametoa ofa kwa Rais wa Tanzània Mhe Samia...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Lissu kwamba Rais apewe miaka 3 ya mpito ili kufanya mabadiliko, kisha Uchaguzi ndio ufanyike

    Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !! Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga...
  15. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza hawa wafuatao ili Chama kibaki salama

    Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Romanus Mapunda: Tunataka Tundu Lissu ajiuzulu Uenyekiti CHADEMA kwa sababu hakitakii mema chama chetu

    Romanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Picha: Unyonge na udhaifu ni sifa ya Ndugai. Ona anavyonyooshewa Kidole Cha Onyo na Lisu

    Tundu Lissu ndiye mbunge wa kwanza duniani kuingia bungeni na vitabu vingi na kuvitumia vyote kujenga hoja zake. Kumshinda lissu kwa hoja, ni lazima uwe umesoma sana
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afichua kilichozungumzwa kwenye kikao cha TCD "Wamesema muda wa kufanya reforms hautoshi'

    Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Tundu Lissu ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kilichojiri kwenye kikao cha Summit ya TCD iliyofanyika leo Aprili 2. Lissu amesema utetezi uliotolewa katika kikao hicho ambacho kilimhusisha pia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

    Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100. 1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko 2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election 3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia 4...
  20. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si wa kupuuzwa, ni wa kusikilizwa kwa makini

    Nimeshindwa kuvumilia kutofuatilia na kushiriki siasa. Tangu miaka ya 80 nilipojiunga CCM baada ya kuhitimu masomo yangu pale Mlimani, nimejionea mengi. Nimewaona na kufanya kazi na wanasiasa waongo, wakweli, halisi na bandia. Wengi bado wapo, achilia mbali wale waliotangulia mbele ya haki...
Back
Top Bottom