tundu lissu

  1. PreGE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

    Wakuu Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu? Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao. "Lissu sio size ya Rais, Lissu ni mdogo na Rais ni mtu mzito...
  2. PreGE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

    CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi. Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Bon yai na Sugu mambo ya kususa na manung'uniko...
  3. PreGE2025 UWT: Tundu Lissu zungumza na Rais kwa staha, vinginevyo...

    Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais...
  4. B

    Tundu Lissu azidi kujipatia Umaarufu, Aibukia kwa Shekh Othman

    Hii sasa ni balaa, speed inatisha. Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu. Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania. Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia...
  5. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Tunawaalika wasio wanachama wa CHADEMA waje wajiunge na Chama chetu cha Haki, tupiganie maendeleo na ustawi wa Nchi yetu pamoja

    Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya. Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na...
  6. PreGE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

    Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na...
  7. PreGE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  8. Je, hii ni sauti ya Rais wa Mioyo ya Watanzania?

    Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
  9. Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  10. Tundu Lissu kumtetea Dkt. Slaa kama wakili, anaruhusiwa kutimiza majukumu ya kiwakili licha ya kuwa bado hajahuisha leseni yake

    Soma: PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo Nimeona hii issue watu wanaipost sana humu Leo kuhusu Senior Wakili Tundulisu kuwa mmoja wa mawakili waliomtetea Dr silaha huku wakati Kwenye Tovuti ya E- wakili ikionesha...
  11. M

    PreGE2025 Wassira atawasumbua sana Lissu na watu wake

    Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko. Pia Wasira hamungunyi maneno kwa CHADEMA kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu. Wasira akibonyeza kitufe CHADEMA yote...
  12. M

    Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

    Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
  13. B

    Tundu Lissu anaweza kutoa mbinu na namna bora za kumaliza Mgogoro wa DRC. Apewe nafasi ana kipaji cha kuleta majibu

    Miongoni mwa Binadamu wenye kipaji sana. Ana calibre ya kuwa mshauri mwema na mwenye uwezo. Uwe unakubali au unakataa inabaki kuwa shida zako. Alipotoa ushauri kuhusu Mgogoro wa Israeli na Palestina Donald Trump amepita mule mule. Kule Ukrain na Russia hawatatulia mpaka wafate ushauri...
  14. S

    PreGE2025 Lissu ni kweli Dkt. Slaa sio tishio kwa serikali lakini hana adabu. Huwezi kumzushia Rais mambo ya kijinga

    Dkt Slaa amedai kuwa Rais aliongea na Mbowe na akampa mzigo wa kumsaidia kushinda uenyekiti wa Chadema, watanzania wamesoma habari hizo, wameona, wamesikia na wanaambiana kwenye vijiwe vya kahawa, navyomfahamu Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mtu...
  15. PreGE2025 Lissu: Dkt. Slaa ni tishio kiasi gani kama sio ukandamizaji, tunahitaji kutengeneza nchi mpya kukomesha uonevu

    Mwenyekiti wa Chadema na Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Tundu Lissu amesikitishwa kushikiliwa kwa muda mrefu mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni uonevu. "Hivi inawezekanaje kwa serikali hii, na mapolisi wake na waendesha mashtaka wake kumweka...
  16. L

    PreGE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
  17. PreGE2025 Tundu Lissu ataka bunge likae kikao cha dharura ili kufumua sheria za Uchaguzi zilizopo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘hakuna uchaguzi bila mabadiliko'. Vilevile, chama hicho kimetoa...
  18. W

    PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
  19. Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

    Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee
  20. M

    John Heche Chawa wa Tundu Lissu amebakia kichwa tu

    We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe? Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…