tundu lissu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jingu: Wananchi hawapo tayari kukinukisha, Chadema itafeli

    "Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok

    Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

    Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa. Mifano: 1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

    Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
  6. JamiiForums Tanzania Ninatoa siku 7 tu walioamuru Tundu Lissu awekwe ndani watoe amri aachiwe. Zikipita siku 7 nitafunga mlango wa toba kwao

    Habari! Mtu yeyote anayeinadi bidhaa yake either hiyo bidhaa si bora au ina kasoro au uhitaji wake katika jamii yake ni mdogo. Sina haja ya kujinadi kuwa Mimi ni nani. Kama bidhaa mbele za Mungu najijua Mimi ni bidhaa ya aina gani ndani ya Tanzania hii na ulimwengu. Ninatoa siku 7 tu kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

    👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki. 👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani". 👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
  8. JamiiForums Tanzania Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

    Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious Nashauri Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania CCM hawana Think Tank , wanajiendea endea tu na Kila wanavyojiendea Linawabumia, LISSU anazidi kuchanja Mbuga

    Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”. Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda. Lissu akagombea Uenyekiti, CCM...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Mbunge viti maalumu adai Bwana mdogo Lissu ameishiwa sera

    Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu. Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu === Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ansbert Ngurumo: Mwachieni Tundu Lissu, mtaaibika tena.......!!

    https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg ➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...! ➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

    Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake. Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kazi kubwa aliyo ifanya kwa CCM, serikali haiwezi kumfunga Lissu

    Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu. Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa. Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi. Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je! Tundu Lissu ni nani hasa? BBC wamchambua

    Wakuu huu ndio wasifu wa Tundu Lissu kwa mujibu wa bbc swahili.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: CHADEMA Kyela wamlilia Tundu Lissu wakati Heche akihutubia kwenye mkutano wa hadhara

    Vilio vimetawala kwenye mkutano wa CHADEMA Kyela Mjini kukamatwa kwa Tundu Lissu kwageuka Simanzi kwa wanachama.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anazika ndoto za vijana wa CHADEMA kushika nafasi za ubunge na udiwani

    Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda. Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola. Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:= 1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…