tundu lissu

  1. Kesi ya uhaini wa "Tundu Lissu vs Jamhuri" na "Uhaini wa Shadrack, Meshack & Abednego vs Jamhuri ya Babel chini ya Mfalme Nebukadneza" (Daniel 3:1-30)

    ➡Kwa msomaji mzuri wa Biblia anaikumbuka kesi hii maarufu iliyorekodiwa ktk kitabu kitakatifu - Neno la Mungu (Biblia) katika kitabu cha Daniel sura ya 3 mstari wa 1 - 30... ➡Ofcoz ni kesi iliyojengwa ktk msingi wa sheria mbaya na ovu dhidi ya wenye HAKI. Maofisa serikalini (i .e mawaziri...
  2. PreGE2025 Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

    Wakuu! Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL? === Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na...
  3. M

    Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

    Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena. Sasa mtu...
  4. Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
  5. A

    PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

    Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee. Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha...
  6. B

    Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

    Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake. Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi. Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025. Angalizo: Mawakili...
  7. W

    PreGE2025 Frank Nyalusi: Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba. "Tumegundua wazi watu wote waliopewa kesi za uhaini walikuja kuwa Marais. I swear to God mimi ni mkristo Tundu Lissu atakuja...
  8. A

    Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  9. W

    PreGE2025 Mbunge wa Covid 19, Salome Makamba amesisitiza alichofanya Lissu ni kinyume na sheria za nchi. Asema G55 'wasichukuliwe poa'

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...
  10. K

    Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  11. W

    PreGE2025 Jingu: Wananchi hawapo tayari kukinukisha, Chadema itafeli

    "Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu...
  12. W

    PreGE2025 Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok

    Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
  13. Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

    Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa. Mifano: 1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa...
  14. PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

    Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
  15. Ninatoa siku 7 tu walioamuru Tundu Lissu awekwe ndani watoe amri aachiwe. Zikipita siku 7 nitafunga mlango wa toba kwao

    Habari! Mtu yeyote anayeinadi bidhaa yake either hiyo bidhaa si bora au ina kasoro au uhitaji wake katika jamii yake ni mdogo. Sina haja ya kujinadi kuwa Mimi ni nani. Kama bidhaa mbele za Mungu najijua Mimi ni bidhaa ya aina gani ndani ya Tanzania hii na ulimwengu. Ninatoa siku 7 tu kuanzia...
  16. PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

    👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki. 👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani". 👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
  17. Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  18. J

    Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

    Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious Nashauri Watanzania...
  19. CCM hawana Think Tank , wanajiendea endea tu na Kila wanavyojiendea Linawabumia, LISSU anazidi kuchanja Mbuga

    Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”. Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda. Lissu akagombea Uenyekiti, CCM...
  20. PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…