tundu lissu

  1. Tundu Lissu yuko ndani kwa kosa gani haswa—ama ni siasa zinachezwa kama kona ya mtaa?

    Aisee ngoja tukumbushane akili hapa, maana kuna vitu vinaenda kama sinema, lakini maisha si movie—ni real life. Hebu tujiulize kwa akili straight up: Tundu Lissu yuko gerezani – but for real tho, what he really do? Ni kosa gani halali ambalo lina-weight ya kumuweka ndani? Sheria gani haswa...
  2. PreGE2025 Bashungwa atoa ufafanuzi kesi ya Tundu Lissu kusikilizwa kwa Mahakama Mtandao, aagiza Polisi kuendelea kudhibiti matishio ya kiusalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao wakiwa magerezani kupitia Mahakama Mtandao, hasa kunapokuwepo na viashiria vya matishio ya kiusalama...
  3. PreGE2025 Steve Nyerere: Anayekuja nchini kwetu kumtetea Tundu Lissu, sisi tunaongoza kwa amani

    Steve Nyerere amvaa Mwanasheria wa Kenya aliyekuja Tanzania kumtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini.
  4. B

    Tundu Lissu kukamatwa na kuswekwa Lockup ni Kisa cha Mwenyezi Mungu Mwenyewe. Ndugu zangu msife moyo

    Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe. Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako. Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa walishangaa sana. Walidhani Mtoto wao wa Kiume amechanganhikiwa kwenda kuoa kwa Watesi wao. Lakini jambo...
  5. Hukumu ya kunyongwa kwa Tundu Lissu itakuwa ni doa kubwa kwa vyombo vya usalama

    Wanabodi, Naamini kwamba msimamo wa mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu ndio utakao tufahamisha kama kweli hana hatia.Ushahidi wa kutosha kutoka upande wa serikali ndio unaoweza kumshawishi hakimu kutoa adhabu ya kifo kwenye kesi hii ya uhaini. Mwanasheria yeyote mwenye nafasi ya kumtetea...
  6. Kisheria, nini kitafanyika iwapo Tundu Lissu ataendelea kukataa "kutokea kwenye mahakama mtandao" ili kujibu mashitaka kesi yake yanayomkabili?

    Kila mtu anashangaa ni kwanini kesi ya jinai (yenye makosa matatu ya uchochezi) na ya uhaini (treason) zote zikimkabili mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Ndugu Tundu Lissu zimekuwa na complications za ajabu ajabu kiasi hiki.. Mlolongo wa matukio: Tarehe 10/4/2025: ➡Afikishwa kwa mara ya kwanza ktk...
  7. Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
  8. Kesi za Lissu: Kukatika kwa Mtandao na Kuzuiliwa kwa Watu kusikiliza Shauri ni uthibitisho wa Shauri hili Kuendeshwa kwa Mabavu kinyume na Haki

    Mtuhumiwa Tundu Antipass Lissu akiamini shauri lake linapaswa kusikilizwa kwa wazi kwenye Mahakama ya Wazi inayoruhusu watu kuingia na kufuatilia mwenendo wa Kesi amegoma kesi yake kusikilizwa kwa njia ya Mtandao ambayo kimsingi sio njia ya Wazi ya usikilizwaji wa Shauri. Tundu Lissu amekuwa na...
  9. W

    PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
  10. M

    Kilichojiri mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Aprili 28, 2025

    Afisa wa Magereza amesema hayuko tayari kwa utaratibu wa virtual Mheshimiwa Mrema wakili wa serikali anatambulisha jopo la mawakili wa serikali kwa upande wa jamhuri yupo pia Thawabu Issa, Cathbert Mbiringe, Harrison Lukosi. Upande wa utetezi wapo mawakili wafuatao 1. Mpale Mpoki 2. Dr...
  11. M

    PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

    Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
  12. PreGE2025 Chacha Heche aeleza masikitiko yake kuhusu kuzuiwa kwa Wananchi Kesi ya Tundu Lissu Kisutu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara Chacha Heche ameeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kuwazuia wafuasi wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuhudhuria kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu...
  13. Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

    Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu. Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria. Ametoa mifano kadhaa kwamba; 1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma)...
  14. Tundu Lissu anahusika vipi na swala la uhaini?

    Uhaini!! Habarini Wana Jamii Forum, kunajambo naombeni mnijuze kwa wenye uelewa juu ya hili swala la (uhaini)...., na kwanamba Gani Lina matokeo hasi katika siasa za nchi, na je vyombo vya kisheria pamoja na serikali vinazungumziaje kuhusu wahaini? Yani hukum kama mtu akibainika na uhaini...
  15. W

    TBT: Tundu Lissu akiwashukia wanufaika wa mgao wa ESCROW akitaka washughulikiwe

    Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi. Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya kuminiwa risasi za kutosha hali iliyopelekea hadi leo hii yeye kutembea na makovu ya matundu ya risasi...
  16. Z

    Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

    Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu. Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani...
  17. Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

    Bravissimo Al-Jazeera! Hapendwi mtu wala haogopwi mtu. Afanyaye zuri na jema, atapongezwa. Atayeharibu, atachanwa tu. Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu. Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee...
  18. Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu. Mabadiliko ni Lazima

    Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu , Mabadiliko ni Lazima. Nikawauliza, Mnauhakika huyo mnayemsimamia, atawaondoa kwenye matumizi ya Nguvu?. Sasa mapemaaa tayari Mmevunja watu , Mmeua . Haya yote yanawaunganisha Watanzania .
  19. PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, yaahirishwa hadi Mei 6, 2025 na itasikilizwa kwa njia ya mtandao

    Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo. Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza...
  20. PreGE2025 Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

    Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi. Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…