Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameiomba Mahakama iitishe na kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu ili kesi iishe na Lissu akafanyiwe matibabu ambapo amesema kama Lissu atapatwa na lolote akiwa gerezani kuna Watu watalazimika kujibu ni nini kimempata...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema kwamba ingawa katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho alimuunga mkono Freeman Mbowe, katika maisha yake binafsi alikuwa rafiki zaidi wa Tundu Lissu tangu walipokuwa pamoja bungeni...
Mbowe alipenda sana siasa za kujaza tumbo lake.
.
Alikuwa yupo tayari kuuza watu ili mradi yeye na tumbo lake washibe na kwenda chooni.
Kwa namna alivyoteswa Tundu Lissu leo hii Mbowe angekuwa ameenda Ikulu kunywa juisi za Ceres.
Lissu hanunuliki. Na hii ndio Sababu CHADEMA inazidi kuwa na nguvu.
Leo (Jana, Desemba 17, 2025) nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema kiongozi.
Gerezani kuna utaratibu mpya umeanzishwa ambao ni kinyume cha sheria, Nilichokutana nacho leo...
Nilisema humu kuwa hakutakuwa na Msalia mtume wala nini.
Tatizo mmeua sana Ndugu zetu, mmeua Sanaa.
Hamjaishia kuua, Mmezika kwa Halaiki, haikutosha, Mmechoma Miili ya Ndugu zetu.
Oaaaa unyama mloufanya kwa Taifa hili, NI LAZIMA TUTAWANYONGA, TUTAWAFUNGA NA TUTAWAFILISI TU.
Nchi hii inashangaza sana.
Kuna double standard ya hali ya juu mno. Aliyesema atakinukisha hakuchukua round akawekwa nyuma ya nondo, saivi anapambana asinyongwe hadi kufa.
Lakini aliyesema atakata watu vichwa yupo mtaani tu anajidai na kunywa alkasusu bila shida.
Lakini tutashinda. Safari hii...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.
Mhe Lissu anaiomba mahakama aunganishwe...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Novemba 10.2025
Hata hivyo, tofauti na siku zote ambapo Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye...
KESI ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa kuendelea siku ya jumatatu, tarehe 10 Novemba 2025, katika Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Mungu anaweza kukunusuru kutoka kwenye janga fulani bila wewe kujua.
Kwa tulichokiona kuanzia Oktoba 29, 2025, bila shaka Tundu Lissu na John Heche wangekuwa uraiani sasa hivi tusingekuwa nao.
Ni dhahiri, serikali hii dhalimu ingewaua wakiwa makazini kwao, hata kama wasingeandamana.
Kama...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025
Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo...
Kwa yaliyotokea kwa Heche, Polepole, ukimya wa Gwajima, naona kabisa bora Lisu aendelee kukaa hukohuko mahabusu kuliko uraiani.
Nchi inatisha kwa sasa, na Lisu ndiye mtu pekee anayetazamiwa na wengi kuwavusha kwenye nchi ya ahadi.
Sasa tuangalie upande wa pili kama Lisu akarudi uraiani na...
Kumsikiliza Lissu akiwasulubu mashahidi wa mchongo wa Jamhuri ni jambo la kufurahisha sana.
Leo kamkaba shahidi wa pili kuhusu elimu yake ya kuunga unga kwenye kesi yake ya Ugaidi.
Ni polisi, mtaalamu wa cyber ila kasomea kutengeneza mafriji.
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, akizungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu ambako inaendelea kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema amesikia kuwa wapo watu waliomfuata Lissu na kumwambia akubali kuachiliwa huru kwa sharti la kuondoka...
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.
Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.
Huyu jamaa siku akihukumiwa...
Kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho Septemba 9, 2025 baada ya kuomba muda zaidi kupitia nyaraka za committal proceedings.
Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni...
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
===
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi...
Hata msipoahiriki uchaguzi 2030 mtakuja mkiwa Moto ,,,nendeni mkahubiri injili ,,Lissu sina mashaka na uadilifu wake anaweza kuongoza chombo kwa uadilifu bila kutamani shekeli za watawala na hatimae kujenga uungwaji mkono utakaoleta kimbunga achana na akina Zitto nk. Wao Wana mission zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.