tunatengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unasemeje

    Tunatengeneza Blog za kisasa pamoja na YouTube Channels. Malipo ni baada ya kazi

    Habari wakuu, endapo unahitaji blog nzuri kwaajili ya matumizi yako basi hapa umefika, tutakutengenezea blog yakisasa na kwa bei hizi; 1. Blog isiyo na custom domain name 10,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinakako.blogspot.com) 2. Blog + custom domain name 30,000/= yaani address yake...
  2. VERBOSE

    Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

    Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje...
  3. Mwande na Mndewa

    Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  4. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tunatengeneza timu ya vijana (U20), njoo ufanye majaribio

    Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili. Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
  5. D

    SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

    Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
  6. Phazo Khan

    Tunatengeneza vyoo vya kisasa ambavyo havijai

    OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital gest nk, Sifa za mfumo huu ni 1 halijai 2 halitoi harufu 3 huchukua eneo dogo Halijai kabisa wakati...
  7. Android

    Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  8. Fortune Akilimali

    Tunatengeneza business cards

    Bado tunasisitiza UBORA NI KIPAUMBELE KWETU. Karibu Ujipatie Business Cards (Plastic Material) zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu sana. 30,000/= per 50 Pcs. Tunapatikana Dodoma lakini Huduma inakufikia popote. Tupigie simu: 0762994422.
Back
Top Bottom