tunataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?

    Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
  2. kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  3. Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  4. LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  5. Kwanini huwa tunaiombea Serikali ifeli wakati huo huo tunataka kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi?

    Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
  6. Sisi wana chadema tunataka kufahamu mabilioni ya Join the chain yapo wapi?

    Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
  7. Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo: Tunataka kugoma kwa Sababu ya TRA haitaki kutuelewa

    Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement. Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize. Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi...
  8. Tunataka kushiriki CECAFA CUP ili kujiandaa na msimu wa 2024/25

    Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga. Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi na mpaka sasa hatuoni kikwazo chochote kutoka kwao. Tayari tumeshatoa taarifa kwa wachezaji wote...
  9. RC Makonda anafanya lile Watanzania Tunataka. Wanaomchukia ukiwauliza hata sababu hawana wamerithishwa chuki

    WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa uongozi Wa kisiasa ndio kile kile ambacho Watanzania waliowengi ambao ni Masikini waliokata tamaa...
  10. Tunataka UWT watoe tamko la kukemea majizi na wavivu

    Sisi watanzania, tunalitaka lile kundi la akina mama wa CCM (UWT) lione haja ya kukemea majizi na wachepushaji wa fedha za wananchi. Kila mahala ukipita lazima ukutane na hadithi ya majambazi kukwapua fedha za miradi na za ofisi za umma. Majizi yametamalaki yanakomba na kufakamia. Tunamtaka...
  11. Tunataka kubadili Sheria ya Tozo ya Warfage kwa manufaa ya nani?

    Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA. Ikumbukwe kuwa hiyo tozo ya warfage ilikuwa inakusanywa na TPA lakini kutokana na malalamiko ya wadau juu ya bandari...
  12. Hatutaki tena ardhi tunataka intermarriage Zanzibar

    Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo pamoja na kwamba tuko bwah binafsi kama nimemuelewa hivi, anasema ardhi tanzania bara inaukubwa wa...
  13. Je, tunataka comedy tucheke sana au kujenga nchi yetu?

    Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
  14. Kama tunataka kukimbia na kutoka hapa tulipo katika kundi moja na waafrika wenzetu tunahitaji mfumo wa China

    Kama tupo serious tunataka kutoka hapa tulipo katika umasikini huu tunahitaji zaidi mfumo wa China. Kama kweli tunataka kukimbia kwa kasi tunahitaji zaidi mfumo wa China kuliko wakati wowote ule. Ubaya wa huu mfumo hauhitaji watu wazembe, hauhitaji wanasiasa wenye maneno mengi na wapiga...
  15. Adha ya Mwendokasi: Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?

    Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi? PIGA KURA YAKO KULETA MABADILIKO.
  16. Watanzania tumechoka sasa tunataka Vitambulisho vya Taifa vipatikane kwa haraka na uhakika

    Ni wazi Watanzania wengi hawana kitambulisho cha taifa yani hili suala la kutoa kitambulisho cha taifa hapa nchini limekuwa kama jambo la hiari kwa mamlaka husika hali inayoweza kuchochea uwepo wa rushwa. Suala la kupata kitambulisho cha taifa lisiwe biashara wala mizungusho kama vifaa hakuna...
  17. Makonda karibu Mtwara ila tunataka majibu juu ya bei ya korosho

    Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu. Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni shemeji yako, licha ya ushemeji kesho unakuja nyumbani mkoa wa Mtwara. Nitakukaangia korosho ambazo...
  18. Tunataka kuwa Taifa takatifu? Bila sexual workers? Tufanye haya

    Ripoti zote za mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) zifanyiwekazi bila uonevu wala kuoneana haya Sauti ya umma isikilizwe na kuheshimiwa Polisi waishi kwenye viapo vyao wasivuke mipaka ya PGO Utawala Bora iwe ni mandatory siyo option Kuku wote watagie bandani (wenye akili wamenielewa) Baada ya...
  19. DOKEZO Haya mashimo barabarani tunataka yachimbuke futi ngapi ili kuyaziba

    Mvua zimeleta majanga na kuacha majanga. Lakini Mvua zisingekuwa na maafa makubwa kama tungekuwa na mifumo mizuri ya maji taka. Kwa kuwa na mifumo mibovu maji yamejitengenezea njia zake na kuharibu miundombinu mingine. Barabara nyingi sana haziko katika hali nzuri na zinaweza kuharibu magari...
  20. Watanzania tunataka bunge la aina gani? Tujadili

    Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe. 2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…