tuna

A tuna (also called tunny) is a saltwater fish that belongs to the tribe Thunnini, a subgrouping of the Scombridae (mackerel) family. The Thunnini comprise 15 species across five genera, the sizes of which vary greatly, ranging from the bullet tuna (max. length: 50 cm (1.6 ft), weight: 1.8 kg (4 lb)) up to the Atlantic bluefin tuna (max. length: 4.6 m (15 ft), weight: 684 kg (1,508 lb)). The Atlantic bluefin averages 2 m (6.6 ft), and is believed to live up to 50 years.
Tuna, opah, and mackerel sharks are the only species of fish that can maintain a body temperature higher than that of the surrounding water. An active and agile predator, the tuna has a sleek, streamlined body, and is among the fastest-swimming pelagic fish – the yellowfin tuna, for example, is capable of speeds of up to 75 km/h (47 mph). However, greatly inflated speeds can be found in early scientific reports and still widely reported in the popular literature. Found in warm seas, it is extensively fished commercially, and is popular as a game fish. As a result of overfishing, some tuna species, such as the southern bluefin tuna, are threatened with extinction.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  3. JamiiForums Tanzania Halafu tukisema Wakenya akina Tresor Mandala hamna Akili mnatuona Watanzania kama vile tuna Chuki nanyi

    liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe. Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya nidhamu ya shirikisho la soka barani Afrika CAF, Sonko anadai kuwa waamuzi wa mechi walichezesha...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Hakuna kura itakayoibiwa, tuna imani na INEC

    Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi. https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
  6. JamiiForums Tanzania Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

    Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa...
  7. JamiiForums Tanzania Haji Juma Omar: Mishahara Midogo kwa Walimu inachangia wengi wao kuishi kwa madeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu. Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kifalme uliovaa suti ya kidemokrasia

    Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu". Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu: 1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa Mama wa kifalme. Si kwa sababu ya uwezo, bali kwa jina tu. Watu wanashangilia kama vile kapita kwa mapenzi...
  10. JamiiForums Tanzania Tunapambana sana kutafuta pesa sema sasa MAZINGIRA na wanaotuzunguka ni kikwazo👇👇😠😠😡

    Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuna uhakika kuwa eMALALAMIKO si avantra?

    Nauliza hivi nikitaka ufafanuzi iwapo kuna yyt aliyewahi kutumia emamamiko kupata mrejesho wowote. Nani ni msimamizi wa mtandao huu. Nani kawahi kupata mrejesho kutokana na malalamiko na kero za ufanisi wa watendaji wa Serikali. Na mwisho baada ya kutoa malalamiko nimemtumia ujumbe ule ule...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna tatizo la unafiki ndani yetu

    Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume Tanzania tuna aibishwa na tumebaki kunyamaza tu

  14. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

    Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma. Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
  16. JamiiForums Tanzania waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Tuna majimbo 272 ya ubunge, kwa nini tuna wabunge karibia 400 bungeni?!

    Amos Makalla anasema tuna majimbo 272 ya uchaguzi sasa inakuaje tunakuwa na wabunge 393?! Hii ni demokrasia ya aina gani ambapo bunge linajazwa watu wasio na majimbo yoyote ya uwakilishi? Tunahitaji kubadilika
  18. JamiiForums Tanzania Tuna Askari Police wenye akili kama huyu?Hii ndio maana ya jamii iliyoelimika

    Askari mlio humu...je hutakiwi kutafakari au kuhoji amri yoyote unayopewa?Hebu msikilize mwenzenu hapa👇
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Kenya wana Gen Z, Tanzania tuna Gen Ziro

    Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu. Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi. Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine. Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
  20. JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…