tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tume ya Uchafuzi Bado Ipo Kazini?

    Hili ndilo swali la DHARURA linalotakiwa kupata jibu haraka wakati huu kabla ya masaa 72 hayajatimia kama walivyo ahidi kabla ya zoezi la uchafuzi kuanza hapo Oktoba 29. Hawa wanafanya kazi gani wakati uchafuzi ulizuiliwa na wananchi? Kwa nini waruhusiwe kuendelea kutoa matokeo ya zoezi ambalo...
  2. JamiiForums Tanzania JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  3. JamiiForums Tanzania TUMEFANIKIWA KULICHUKUA GARI LA TUME YA UCHAGUZI

    👇👇
  4. JamiiForums Tanzania Waliopo karibu na ofisi za Tume wanapotangaza huu uchafuzi waingilie kati tafadhali

    Kinachoendelea hapo tume wanapotangaza matokeo ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe, waliopo karibu waende wakasalimie hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  8. JamiiForums Tanzania JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano yamtaka Gavana Mutahi Kahiga kutoa maelezo kuhusu kauli zake tata juu ya kifo cha Raila Odinga

    Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano nchini Kenya (NCIC) imemtaka Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kutoa maelezo rasmi kuhusu kauli zake zilizozua utata kuhusu kifo cha aliyekuwa kinara wa ODM Raila Odinga. Kauli hizo zimezua hasira kubwa nchini Kenya, hasa baada ya Kahiga kusema kuwa kifo...
  12. JamiiForums Tanzania Azaki zaishauri CCM kuunda tume ya kuchunguza utekaji

    Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi. =================== Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Semu: Tutaunda tume ya kuchunguza matukio ya utekekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini . Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya...
  14. JamiiForums Tanzania TCU: Waombaji 146,879 wametuma maombi ya kujiunga Vyuo Awamu ya Kwanza ya Udahili wa Shahada ya Kwanza

    TAARIFA KWA UMMA KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 1.0 KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA YA UDAHILI 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wa Elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  19. JamiiForums Tanzania Kama mgombea uraisi tume inampa gari kwa ajili kuomba kuchaguliwa na sisi tushajua mna NIDA zetu tulipeni

    Mambo ya kwenda burundi tukikuuliza kodi,tukifa unasema kifo ni kifo mpaka wale wanaotuambia sijui oktoba watatiki sawa si mnajua. Kwa sasa NIDA yangu kama utalazimisha kuwa nilikuchagua thamani yake ya kukuchagua ni bilioni 23 za kitanzania. Hii kesi nimepata wazo ili wajuwe CCM oktoba...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Tume huru ya Uchaguzi yetu imejaa maigizo

    Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi! Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi? Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…