tumbo

Tumbo is a locality situated in Eskilstuna Municipality, Södermanland County, Sweden with 292 inhabitants in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  2. Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  3. Mimi na washkaji zangu tuliugua homa ya tumbo wakati tuko Tabora

    Habarini wana jamvii Leo nimekumbuka hiki kisa tulichopitia na jamaa zangu miaka ya nyuma kidogo mkoani Tabora wenyewe wa kuita mboka manyema aisee ilikuwa hatari. Tulieenda tabora kuna mishe tulieenda kufanya kwa kipindi kile tulikuwa watu wa tatu tulifika tabora salaam kabisa kwa kuwa...
  4. Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
  5. N

    Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  6. Mamba aliemla mtoto apasuliwa tumbo

    Maafisa wa Idara ya Huduma ya Wanyamapori (KWS) siku ya Jana Ijumaa walifanikiwa kumuua mamba aliyemla mtoto wa miaka 11 katika kijiji cha Manyuru, kaunti ndogo ya Ndhiwa Nchini Kenya. Katika tukio hilo, mtoto huyo, Felix Odongo wa Gredi ya Pili alikuwa anachota maji na wenzake Mto Kuja wakati...
  7. Nina harisha damu lakini sina maumivu ya tumbo

    Tangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa. Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu? Au ndio nimekutana na daktari kihiyo?
  8. Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo

    Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
  9. Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa. Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi...
  10. Tuliowahi kushikwa na tumbo la kuhara kwenye mazingira hatarishi tukutane hapa

    Narudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa... Karibuni kwa shuhuda
  11. Singida: Mtoa Matibabu afikishwa Mahakamani kwa kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 ili afanye Upasuaji wa Tumbo

    Afisa Tabibu kutoka Hospitali ya Wilaya ya Iramba aliyetambulika kwa majina ya Msafiri Omary Kalomo, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iramba, kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 kutoka kwa Neema Msengi Kilimba ili amsaidie kufanya upasuaji wa uvimbe katika Tumbo la...
  12. Mtanzania na unafki ni sawa na tumbo na msosi..

    Wakuu Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa.. Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu, Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa. Ukienda Jamaica wao wanasifika kwa matumizi makubwa ya mmea (bangi). Hivyo hivyo inakwenda kwa wabongo ambao...
  13. U

    Huu uzushi kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na njaa ulitokea wapi?

    Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa kujikita kwenye mada hiyo. Kuna uzushi mkubwa Tanzania kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na...
  14. R

    Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
  15. Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  16. Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

    Hwl Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana. Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
  17. Kuumwa na tumbo la kukata na kuhara

    Aisee jana mida ya saa 7 usiku niliumwa tumbo la kuvuruga nikaenda chooni kupush naiikaanza choo ngumu hapo tumbo linauma sana baadae nikaanza kuharisha huku tumbo inauma sana je nitumie dawa gani ili nizuie kuharisha
  18. Wasomi wa Tanzania ndio wachumia tumbo na Wazalendo ndiyo vilaza hawaelewi kitu

    Hii ndio Tanzania yetu ukishapata kitengo, uongozi au nafasi ni muda sahihi wa kupokea rushwa, kufanya biashara magendo, ubadhirifu na uhujumu uchumi Viongozi na Watumishi hawana uchungu na hii nchi. Wazalendo ndio maskini wa kutupwa na wengi ni wajinga hawana uelewa wa kuhoji zaidi ya kujiita...
  19. Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  20. M

    Albert Msando acha kutetea tumbo lako. Hauna uwezo wa kudadavua na kujua mambo kama Prof. Shivji

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga Wakili Albert Msando amesema mkataba uliosainiwa baina ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari nchini (TPA) na serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World ni wa jumla kwakuwa kifungu cha Pili 'C' cha mkataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…