CEO wa Wasafi, Diamond Platnumz amedai kuwa kitendo cha baadhi ya watangazaji na waandishi kushikilia kumzungumzia na kumuandika kwa Mambo mabaya, cha kujipotezea muda kwao.
Kwenye exclusive interview na Prince Ramalove kupitia Kings FM, Diamond Alifafanua kauli yake ya kusema kuwa yeye...