tuambie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Spika Tulia tuambie, ushahidi wa Mbunge Mpina umeuonaje?

    Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi. Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
  2. JamiiForums Tanzania Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

    Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
  3. JamiiForums Tanzania Unatumiaje JamiiForums kujiingizia maokoto?

    Hivi Unatumia njia gani kuingiza maokoto kupitia hili jukwaa la Jamiiforums Tupe madini
  4. JamiiForums Tanzania Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

    Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha. Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  6. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…