trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

    Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui. Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Trump atishia kupiga boti zinazotega mabomu huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika Mlango-bahari wa Hormuz

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameliamuru Jeshi la Majini "kupiga na kuua" boti zozote za Iran zinazotega mabomu katika Mlango-bahari wa Hormuz. Mazungumzaji mkuu wa Iran amesema kuwa Tehran imepokea mapato yake ya kwanza kutokana na ushuru ilioweka kwa meli zinazopita katika mlango-bahari...
  3. JamiiForums Tanzania Trump: Iran Imevunja masharti ya Vita kwa Shambulio Hormuz, Yaonya Kuhusu Kuongezeka kwa Mapigano

    Rais Donald Trump amesema hatua za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni 'ukiukaji kamili' wa usitishaji vita, akiongeza kuwa wajumbe wa Marekani wanaelekea Pakistan kwa mazungumzo na kuonya kwamba ikiwa Iran itakataa makubaliano, Marekani itaongeza mashambulizi kwenye miundombinu muhimu."...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aisifu Israel!!

    Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake. "Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika. Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana...
  5. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE NA DONALD TRUMP wanafanana tabia kwa asilimia kubwa sana

    Mzuka wana jamvi ? Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia . 1. Wote hata uwe rafiki yake vipi na uwe unamsifia siku ukimkosoa na kupishana nae basi lazima akutweze na kukuona hauna akili...
  6. JamiiForums Tanzania Iran Yamkemea Trump Vikali

    Wanaukumbi. 🇮🇷 IRAN IMEMKEMEA TRUMP KWA UKALI "Tangu vita hivi vianze, dunia imezama katika uvumi na kauli za kipuuzi. Viongozi huzungumza kwa uhuru, wengine kwa ukweli, wengine bila. Tuweke sawa hili, uranium ya Iran ni mali ya Iran. Ni jukumu letu, nishati yetu, haki yetu ya uhuru. Sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥 🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: 🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada 🇪🇸...
  8. JamiiForums Tanzania Trump: Sioni umuhimu wa Kukutana na Papa Leo XIV

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hana mpango wa kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, kufuatia tofauti zao za wazi kuhusu suala la Iran na umiliki wa silaha za Nyuklia. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Trump amesisitiza msimamo wake kuwa Iran haipaswi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Pope Leo takes aim at 'handful of tyrants' spending billions on war amid tensions with Trump

    Pope Leo takes aim at 'handful of tyrants' spending billions on war amid tensions with Trump LAGOS, Nigeria — Pope Leo XIV has delivered striking remarks in Cameroon, condemning global leaders who, he said, are "ravaging the world" by spending billions on war. The comments come amid a growing...
  10. JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

    Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani. Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na...
  11. JamiiForums Tanzania Trump kuwaalika Netanyahu na Aoun Jijini Washington kwa Mazungumzo

    Katika chapisho lake la pili kwenye mtandao wa Truth Social baada ya kutangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, Rais wa Marekani Donald Trump amesema atawaalika viongozi wa nchi zote mbili jijini Washington kwa ajili ya mazungumzo. "Nitawaalika Waziri Mkuu wa Israel...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

    Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baadaya Trump kuwasaidia Iran kufunga njia, Marekani ndie msambazaji mkubwa wa mafuta duniani, Hakuna tozo ya kuingia wala hofu ya kulipuliwa na Iran

    https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani. Hormuz...
  14. JamiiForums Tanzania Saudia Arabia: Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe

    Wanaukumbi. Sikiliza msimamo wa Saudi Arabia leo: “Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe. Tangazo kuu la Saudi Arabia.” Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 80, Wasaudi wanasema HAPANA kwa Marekani. Ninaiita Ugeuzi wa Karne wa Saudi Arabia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Trump alazimisha mazungumzo na Iran

    Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika. Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
  16. JamiiForums Tanzania Hoja zangu 5 kwanini naiunga mkono Iran katika mzozo unaoendelea huko mashariki ya kati

    Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo: 1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
  17. JamiiForums Tanzania Trump apigwa tobo na China mbele ya kizuizi chake

    Niaje waungwana Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa hatua hiyo. Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji meli, meli ya China iitwayo Rich Starry ilivuka...
  18. JamiiForums Tanzania Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

    Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
  19. JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaudhibiti kijeshi Mlango-Bahari wa Hormuz

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran. Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA diaspora seeks talks with Donald Trump and rights bodies over alleged abuses in Tanzania and the release of Tundu Lissu

    Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others. Finally to bring to justice those involved in October 29th 2025 massacre of innocent Tanganyikans Najua meeting...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…