trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  2. Wingereza wanamhitaji Trump aongoze kidogo nchi yao

  3. Trump avalia njuga mauaji ya john Kennedy

    𝐉𝐄! 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝟐𝟎𝟐𝟓 𝐍𝐀𝐘𝐄 𝐀𝐓𝐀𝐕𝐀𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐉𝐔𝐆𝐀 𝐔𝐓𝐄𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐍𝐀 𝐒𝐎𝐊𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐀𝐉𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐙𝐄𝐄 𝐊𝐈𝐁𝐀𝐎? Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka yake Bobby Kennedy na Mwanaharakati mashuhuri Martin Luther King. Kwa uelewa wangu na kusoma kwangu...
  4. Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  5. Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  6. Raisi Trump aikosoa vikali sheria ya talaka kwa wanandoa

    Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali. "Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
  7. Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

    Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
  8. Hatimaye Trump kuiangalia sheria ya talaka ambayo imekuwa ikiwatesa wanaume

    "Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka. "Talaka imekuwa ni biashara yenye faida kubwa kwa wanawake nchini Marekani na nitaikomesha. Ikiwa mwanamke ataolewa na mwanamume tajiri, haimaanishi kwamba...
  9. Kama USA tu, celebrity endorsement imefikia ukomo hata bongo

    Haifanyi kazi tena. Watu wanatumia akili sasa hivi. hatubebeki kiselasela Sio tu huko mjini hata hapa Nanjirinji. Uzi tayari Ngoja nikabet
  10. POTOSHI Rais Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake baada ya kuapishwa na kutoa onyo kwa Rais Ruto kuhusu matukio ya Utekaji

    Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
  11. Rais Trump aanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon kule Ukraine

    Rasmi, Rais Trump ameanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon waliopo Ukraine na wahusikao na misaada pia kwa Ukraine. Hiyo ni kwa mujibu wa Vyombo vya habari huko Kiev.
  12. Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
  13. Kujiondoa Kwa Marekani kwenye WHO ni sawa na kukataa kuwa Kaka mkubwa Wa Dunia. Trump hafai kuwa kiongozi wa USA

    Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
  14. Miongoni mwa Amri alizosign Trump Januari 20, 2025

    Miongoni mwa Amri Zilizotolewa na Trump Jana Katika Uapisho Wake 1. Kusitisha Ajira Mpya (Hiring Freeze) Trump alitoa amri ya muda ya kusitisha ajira mpya serikalini hadi utawala wake utakapoanza kufanya kazi kikamilifu. Aidha, ndani ya siku 90 kuanzia tarehe ya kutolewa kwa amri hiyo...
  15. Putin ampongeza Trump na kusema yupo tayari kusuluhishwa na Ukraine vita iishe

  16. Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump **** NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA "Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
  17. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  18. Uchambuzi: TRUMP na suala la Marekani kutumbua jinsia mbili, Wamefikaje huko?

    Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya Title IX, Inasema: "Hakuna mtu nchini Marekani, kwa misingi ya jinsia, atatengwa kwa kushiriki...
  19. Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa Google, wamekaa siti ya mbele kwenye shughuli ya uapisho wa raisi Trump wakati mawaziri wake wamekaa...
  20. Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

    Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia. Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu. Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…