trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump asema huenda akakutana na Putin hivi karibuni.

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni kabisa. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi habari katika ikulu yake ya White House mjini Washington ni lini atakapokutana na marais wa Ukraine na Urusi...
  2. W

    Trump Aamuru Ushuru Mpya kwa India Kufikia Asilimia 50 kwa Sababu ya Kununua Mafuta kutoka Urusi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
  3. Trump asema kuna 'matarajio' ya kukutana na Putin na Zelensky.

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin. Alipoulizwa katika Ikulu ya White House ikiwa viongozi hao wawili wamekubaliana kuwa na mkutano kama...
  4. Dead Hand: Mfumo hatari wa Urusi wanaoutumia kumtishia Trump

    Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alitumia akihutubia Marekani, suala ambalo liliikasirisha Ikulu ya Whitehouse na kurudisha kumbukumbu za Vita Baridi. Kauli ya Medvedev, ambaye kwa sasa ni naibu mwenyekiti...
  5. Trump amtuma tena Witkoff kwenda Moscow

    Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8 Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni...
  6. Je, Donald Trump hatimaye ameanza kuuelewa msimamo wa Putin?

    Katika gazeti la The Independent, ambalo limebainisha katika tahariri yake kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza kutambua waziwazi kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin "si mfanyabiashara, bali ni kiongozi anayestawi katika vita na anaamini katika kufufua wazo la kuwa na Urusi Kubwa,"...
  7. M

    Ni kichaa tu anayeweza kutekeleza tishio la kutumia nyuklia: Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP

    Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!! Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
  8. Urusi imepuuza tangazo la Trump la kupeleka manowari karibu na Urusi

    Je, hii inaweza kuwa mara ya kwanza katika historia kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii kusababisha ongezeko la matumizi ya nyuklia? Rais Donald Trump, aliyekerwa na kauli za Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev, anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia kusogea karibu na Urusi...
  9. Trump. Sidhani kama vikwazo putin vinamsumbua.

    nitajaribu kusitisha vita hivyo. Lakini nadhani kile ambacho Urusi inafanya ni cha kusikitisha. Warusi wengi wanakufa. Waukraine wanakufa. "Ndio, tutaweka vikwazo. Lakini sijui kama vikwazo vinamsumbua.” Trump alitangaza kuiwekea Urusi vikwazo ikiwa kufikia Agosti 8, haitoonyesha dalili zozote...
  10. Trump aamuru manowari za nyuklia kuwekwa tayari baada ya maoni ya rais wa zamani wa Urusi.

    Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
  11. Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

    Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri tu Putin aseme kitu kuchangamke. Ndo unagundua kuna kitu Marekani wameona kwa Urusi.
  12. Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

    Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
  13. Trump: Njia ya haraka ya kumaliza mateso ya Gaza ni Hamas kujisalimisha na kuwaachilia mateka wote

    Trump: Njia ya haraka ya kumaliza mateso ya Gaza ni Hamas kujisalimisha, kuwaachilia mateka Rais wa Marekani Donald Trump anasema kundi la kigaidi la Hamas linapaswa kujisalimisha na kuwaachilia mateka 50 linalowashikilia ili kumaliza njaa na masaibu mengine huko Gaza. "Njia ya haraka zaidi ya...
  14. Elon Musk Aishabikia urusi katika ugomvi na Marekani.

    Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
  15. Trump aihurumia canada kwa kutaka kulitambua taifa la Palestine

    Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
  16. Mipasho ya Trump kwa Russia, India na kwa aliyekuwa Rais wa Russia Medvedev

    Huyu bwana ana mipasho sio kidogo😀
  17. Mfupa Uliomshinda Donald Trump

    Wakuu. Tokea kurejea kwake madarakani, Rais Donald Trump amekuwa ni kiongozi wa mipasho na kupenda kuabudiwa na kila mtu huku akiamini kuwa yeye ndiye fundi mwenye sauti kuu kwenye kila idara nyeti. Bwana Jerome Powell mwenyekiti wa Federal Reserve amekuwa ni mwiba mchungu na mfupa pekee ambao...
  18. X

    Hatimaye jaribio la Trump kuiondoa China kwenye mfereji wa Panama limefeli

    Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani: "China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunaurudisha." – Trump (March, 2025) Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya...
  19. Trump atabiriwa kuidondosha chini Marekani.Amri zake zimeshindwa Gaza,Yemen na Iran.Haziwezi kufaulu kwa Putin

    Mapema mwezi huu raisi Trump alimpa raisi Putin wa Urusi mwezi mmoja na ushei ili akubali suluhu na Ukraine vita vimalizike. Sasa Trump amesema amepunguza muda huo na kumtaka Putin asimamishe vita katika kipindi cha wiki mbili tu zijazo.Urusi baada ya kusikia amri hiyo imesema imesikia maneno...
  20. Trump: 'Tutashambulia ikiwa kuna shughuli za nyuklia'; Araqchi: 'Tutatoa jibu ambalo hutaweza kujificha

    Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa." Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa X: "Mashambulizi haramu ya hivi majuzi ya vituo vya nyuklia vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…