treni

"I treni di Tozeur" ("The trains of Tozeur") is an Italian song, written by Franco Battiato, Saro Cosentino and Giusto Pio. It was the Italian entry in the Eurovision Song Contest 1984, performed in Italian (with some lyrics in German) by Alice and Franco Battiato.
In a studio version sung only by Battiato, the song was later to be included on his album Mondi Lontanissimi (1985) and was subsequently also recorded in English and Spanish language versions as "The trains of Tozeur" and "Los trenes de Tozeur" and featured on albums Echoes of Sufi Dances and Ecos de Danzas Sufi respectively. In 1994 Battiato recorded an interpretation of the song with a symphony orchestra for his live album Unprotected.
Alice has also recorded solo versions of the song, included on albums Elisir (1987) and Personal Jukebox (1999), the latter featuring strings by the London Session Orchestra, arranged and conducted by Gavyn Wright. The original 1984 duet version of the song features on the 2005 career retrospective Studio Collection, in effect making its debut on an Alice album twenty-one years after its recording.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  2. Missy Gf

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kusafirisha mzigo kwa treni

    Hello great thinkers, Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar? Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu Naomba mwenye maelekezo au idea anisaidie. Asanteni
  3. I

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

    Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana. Pia, Soma=> ~ Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje? ~ TRC: Tumewakamata...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi kutokana na hitilafu ya umeme katika Treni ya SGR

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ex-Mayor alivyoumizwa na tukio la Kukatika Umeme kwa treni, inaumiza sana sana

    Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR. NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR. Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma

    Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma. Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri. Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kadogosa, bila shaka kimkataba, wakorea waliotengeneza treni yetu wanapaswa kuwa wanatembea nayo kwa walau miaka mitatu ili kubaini mapungufu

    Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake. Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
  9. realMamy

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuachwa na Basi au Treni? Ulifanya nini kuliwahi

    Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅. Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata. Nimefika stendi Basi ndo kwanza linatoka nililia kama mtoto mdogo ikabidi watu wanisaidie kulisimamisha...
  10. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi. Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:- 1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Treni zote za SGR Kupewa majina ya Viongozi

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni ya SGR

    Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  16. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  17. S

    JamiiForums Tanzania TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

    Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

    Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
  19. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu naona Treni ya SGR haitachukua miaka 6 itakufa

    Niwapongeze watanzania (hususani watanganyika) kipekee zaidi watumishi wa umma kwa kufanikisha nchi yetu kuwa na moja ya miundombinu na usafiri wa kisasa nchini hakika pongezi ziende kwenu na naamini mtamsamehe magufuli kwa kutiwapandisha madaraja ili tunufaike tunu njema kama hii. Lakini siku...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

    Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom. Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana...
Back
Top Bottom