tra

  1. Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  2. Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau. Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza...
  3. K

    Mlioenda interview oral TRA tunaomba feedback

    How was it guys? Mimi yangu kesho kutwa. Do you have any tips
  4. Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    Habari Wadau. Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
  5. M

    Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
  6. G

    Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Mdau nauliza matokeo ya usaili wa oral TRA ni lini watayatangaza
  7. K

    Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
  8. Vibali vipi vinahitajika ili kufungua biashara?

    Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya. Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
  9. Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  10. R

    Who is a good tax collector?

    Introduction Throughout history, taxation has often been a contentious subject. From ancient empires to modern governments, tax collectors have been perceived with skepticism, sometimes even hostility. However, the biblical account of Zacchaeus (Zakayo) offers a refreshing and timeless lesson...
  11. Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  12. M

    Majibu ya rufaa kwa ambao hawakuitwa written interview ya TRA March 2025

    Habari Wadau, Naomba kuuliza kwa wale ambao hawakuitwa kwenye written interview ya TRA na wakawasilisha malalamiko yao,Je walijibiwa?
  13. Ningependa Kulipwa kwa Bitcoin… Je, TRA Watanifunga?

    Kama freelancer au mtu unayefanya kazi za mtandaoni, kuna siku inawezekana ushawahi pokea message au utapokea email au message ikisema, "I’d love to pay you in Bitcoin. Are you okay with that?" Na hapa ndipo swali linapojitokeza kwa wengi wetu hapa Tanzania: Kama nikilipwa kwa Bitcoin, JE! TRA...
  14. K

    Rufaa za TRA zinatoka lini?

    Wakuu Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu. Je majibu ya rufaa zetu yanatoka lini?
  15. Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  16. TRA lazima iwajibike na imekurupuka, uwezo wa NBAA ni mdogo sana kwenye tansia ya teknolojia na engineering

    Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda...
  17. Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  18. Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  19. TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

    TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine? TRA Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…