tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yaishauri Bunge kubadilisha Tozo

    Siku chache baada ya Serikali kutetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki, Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka wizara ya fedha na mipango pamoja na kamati ya bajeti kupeleka mswada wa dharura bungeni ili jambo hilo liangaliwe upya. Septemba 1, 2022, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
  2. JamiiForums Tanzania Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

    Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa. Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo...
  3. JamiiForums Tanzania Fatma/Shangazi, bado hajamuelewa mama yake

    Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutegemea tozo na kodi za nchi wanazotusaidia kwa maendeleo yetu

    Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Huku tozo kibao wakiwekewa wananchi. Wakazi wa Liwale wanunua ndoo ya maji sh 1000/-

    Hizi tozo zinatusaidia nini sasa? Tunakamuliwa na bado hata maji hatupati --- Mamlaka ya Maji safi na mazingira Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi (LIWASA) imeombwa kuzalisha kwa wingi huduma ya maji kwa lengo la kuwatatulia wananchi kero za upatikanaji wa huduma hiyo kwa jamii. Ombi hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Makali ya tozo yalianzia hapa

    Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha yenye marekebisho ya kodi na tozo, ambazo sasa zimezua malalamiko kwa wananchi. Kwa takribani wiki...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono tozo

    Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi. Mimi binafsi sijaona ubaya wowote wa serikali kuweka tozo na nina fikiri hakuna njia nyingine kwa wakati huu zaidi ya tozo na nitajaribu kuweka hoja hapa vizuri. Tanzania kama nchi inayoendelea inahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi tano zenye unafuu wa tozo

    Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani Chanzo: Getty images Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa mafuta na tozo kumepunguza mishara ya watumishi.

    Tayari mishahara imeshakatwa Kodi ya mapato (PAYE), hata hivyo unapokwenda kuuchua kwenye Benki ulikowekwa na mwajili wako unakatwa Kodi/tozo tena. Hili ni laana kubwa kwa watumishi wetu. Kama wanataka hivyo ni heri mshahara utolewe dirishani kama zamani ili mtumishi awe na hiyari ya kuuweka...
  11. JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani

    2 Septemba 2022 By Yusuph Mazimu, BBC Swahili Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miradi. Hoja inakuja ni tozo...
  12. JamiiForums Tanzania Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  13. JamiiForums Tanzania Uvivu wa serikali kukusanya kodi ndo unaleta tozo.

    Serikali imewaonea huruma wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini lakini bado wanakatwa PAYE. Ikaona si sawa mtu alipwe laki 3 yenye kodi wakati kuna bodaboda wana ingiza mpaka laki 6 kwa mwezi na hawalipi kodi ya kipato. Sasa namna ya kuchukua kodi kwa watu ambao wana kipato na hawalipi kodi...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua Mwigulu hatanii?! Hivi punde ataanza kutoza tozo kwenye kila mfugo.

    "...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza." Amesema Waziri Mwigulu.
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

    Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
  16. JamiiForums Tanzania Naona tozo imeshaanza kuleta impact

  17. JamiiForums Tanzania Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  18. JamiiForums Tanzania Nimekutana na JPM akiongelea kodi, wale wa tozo najua mpo

    Ukiwa na hasira na anayeongea tafadhali hamia burundi niache nipambane na tozo.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ingefanya haya kama mbadala kuwatua wananchi mzigo wa tozo

    Kuweka usimamizi mzuri wa fedha za umma, kuhakikisha fedha zote zitokanazo na ushuru, madini, utalii na kodi mbalimbali zinaingia mahali stahiki. Kupunguza matumizi na gharama zisizo za lazima kama kununua magari ya gharama kubwa, safari zisizo za lazima kwa viongozi, na kupunguza misururu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…