Toyota SA wametangaza leo LC 300 zilizonunuliwa kuanzia 16 January 2025 mpaka 18 January 2026 ambazo ziliuzwa karibu Cruiser 1846 zilirudi kwa ajili ya matengenezo baada ya kugundulika kuwa na changamoto kwenye 10 speed gear shift..
Wametoa angalizo kuendelea kutumia hilo gari bila kurudishwa...
2008 Toyota Rush ni compact SUV inayopendwa na kuaminika na watu wengi sana. Ni gari inayojulikana kwa uimara, matumizi mazuri ya mafuta pamoja na gharama nafuu za matengenezo.
Hata hivyo, mara nyingi huwa inakosolewa kwa kuwa na nguvu kidogo kwenye engine, pamoja na kuwa na 4-speed...
Wataalam na wazoefu
Hii gari ipo chini sana, Wanaozitumia huwa wanaziinua ziwe juu ili kuhimili barabara zetu.
Modifications za kuipandisha juu ni shilingi ngapi ?
ILIYOINULIWA NI KAMA HII HAPA
Kwa yeyote mwenye uzoefu na toyota crown grs 180 naomba atoe uzoefu wake hapa 4gr itapendeza zaidi. Kipengele cha mafuta weka pembeni, chapa interms of reliability wa vipuli na engine, common problem ni nini and etc
Wanabodi nilikuwa napitapita huko mitandaoni nikaona Toyota wameachia rasmi chuma yao mbabe wa offroad na mshindani wa Hummer Toyota 2026 Mini Land Cruiser FJ,
Hii chuma bwana ni chotara yenye urithi wa Land Cruiser na teknolojia ya kisasa...ukipata hii ni sawa na kupata Cruiser tu, mwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.