Car4Sale 1996 Toyota Hilux a.k.a Mkongwe yuko sokoni

Car4Sale 1996 Toyota Hilux a.k.a Mkongwe yuko sokoni

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
673
Reaction score
595
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 32.8M
Call📞+255 747 999 927

TOYOTA HILUX

Year: 1,996
Engine: 2,237Cc
Mileage: 180,000+
Fuel Used: PETROL

Transmission: MANUAL

✨Alloy Wheels
✨Leather Seats
✨4 Wheels Drive

✅Clean Interior
✅Well-Maintained
✅Swap Deals Allowed

IMG-20260131-WA0016.jpg
IMG-20260131-WA0018.jpg
IMG-20260131-WA0019.jpg
IMG-20260131-WA0021.jpg
IMG-20260131-WA0013.jpg
IMG-20260131-WA0012.jpg
IMG-20260131-WA0011.jpg
 
Muwe mnawashauri maboss, gari imetengenezwa 1996, imeingia nchini 2008 ikiwa na miaka 12 ya kuendeshwa Japan/Europe namba AQW,nina uhakika kununua na kuitoa bandarini wakati huo haikuzidi milioni 20, imeendeshwa hapa nchini karibia miaka 18 hadi leo 2026, Ina mileage ya kilometer 180,000. Bado mnataka muiuze milioni 32!???, kwasababu ni Hilux Ina sports rims au!?, hata kama ni dalali sio kila bidhaa unapost, nyingine unaacha tu boss ajipambanie wateja wasikukariri vibaya kwamba una tamaa.
 
Na wateja tuseme amina baba
 
Rangi imepigwa mpaka kusoma neno Toyota unashindwa
Ila ni mtambo kwa sifa zake ingawa sijaona picha ya engine.
 
Transmission ya hiyo gari kwenye picha ni Auto?!
1996 halafu 32.8m.....
Nimpe pole mwenye gari in advance, maana atasubiri sana!
madalali mnapenda kukwamisha watu mno
 
Nadhani ungeanza 17m ili wateja ushuke nao huko ulikotangaza ni bei kubwa sana ukiangalia na gari yenyewe jinsi ilivyo...
 
🤣 🤣 Madalali Wanataka wapige double mkuu hii ndio bongoland
Sema sio kosa lao TRA wanaumiza wananchi kwenye kuingiza gari ukitaka kuleta gari kama hiyo utaambiwa kodi zaidi ya 22m ndio maana Tanzania magari chakavu yanaendelea kuuzwa bei kubwa sana kuliko thamani halisi ya gari lenyewe sasa hivi hata minada yao gari zipo bei juu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom