toto

  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  2. JamiiForums Tanzania Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  3. JamiiForums Tanzania NHIF na Toto Afya kadi mashuleni hakuna msukomo wa usajili

    Salaam, Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya maradhi. Kampeni hii ili ishia kushindwa kwa kusajili watoto +240k ambao michango yao ilikuwa si zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

    Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima. “Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga. Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
  7. JamiiForums Tanzania Feisal Salum (Fei Toto) na Yanga kimeeleweka, kutambulishwa Azam muda wowote

    MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili. Hatua hiyo imekuja...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum (Fei Toto) kuhamia Azam

    Feisal Salum (Fei Toto) Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili. Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi. Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  10. JamiiForums Tanzania Anachofanya Fei Toto Sasa kwa Hersi ni kulijambia jiwe

    Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na kuponya njaa yake kali. Pamoja na njaa yake alikimbia umbali mrefu kuufuata "mfupa" aliouona kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

    INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia kwake. Imeendel Soka la Tanzania lazima liwe na habari tofauti inayomhusu mtu mmoja ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  14. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  15. JamiiForums Tanzania Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

    Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami. Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
  16. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea ya Fei Toto huko TFF

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana Mei 4, 2023 ilisikiliza shauri la mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja mkataba na waajiri wake Young Africans kupitia barua yake ya tarehe Machi 6, 2023. Baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Shauri la Feisal Salum 'Fei Toto' kusikilizwa leo TFF

    Picha: Feisal Salum 'Fei Toto' Shauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji. Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri. Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
  19. JamiiForums Tanzania Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
  20. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

    MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini. Hakuna aliyeshangaa Fei kuwekwa benchi na Adel Amrouche, kocha mpya wa Stars. Watanzania wa leo wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…