tony kapola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

    Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola.. Simuoni Mungu ndani yake Sioni uchaji wa kiroho Sioni unyenyekevu wa kiimani Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi Kinachoonekana kwenye kila video ni Majigambo Maringo Majisifu Kujikweza sana na dharau za kila aina...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Tony Kapola; Najua ulifanya vile kumtetea mkeo. Siku nyingine usirudie. Huko ni kutojiamini. Wanaume waliooa waliofunzwa hawatetei Wake zao mitandaoni

    Ijumaa Kareem! Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama mwanaume asiyejielewa, mwanaume usiyejua nini cha kufanya. Ulichofanya ni utoto, uvulana au mara...
  3. Brain Kingdom

    Pastor Tony Kapola kama Mungu alimtendea muujiza wa gesi kwanini ana panic na kukejeli wanaobeza?

    Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu. Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic na kufikia hatua ya kutukana, kukejeli na kudharau wanaobeza muujiza wa gesi. Kama huyu ndio pastor...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Alianza Kiboko ya Wachawi sasa Tony Kapola naye kuwadharau "Wajinga wanaoamini kwenye Manabii Fake"

    Habari za Sabato! Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa. Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango. Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
  5. M

    Ushauri kwa Pastor Tony Kapola , kuprove watu wrong, andaa siku ujaze mtungi mtupu wa gesi live mbele za watu

    Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
  6. S

    Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Hello Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT. Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana. Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa ni wa majingambo kujisifu juu ya kumiliki magari hela na nyumba Kali. Lakini akisahau waumini wake...
  7. Waufukweni

    Pastor Tony Kapola awajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi: Naonekana nadhalilishwa

    Pastor Tony Kapola akiwa kwenye ibada jioni ya jana Agosti 7 amewajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi ikajaa na kupika wiki 2
  8. Mshana Jr

    Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    Tony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na...
  9. T

    Huyu "Pastor" Tony Kapola amefikia hatua ya kutukana wanawake wote na dini nyingine? Hii jeuri nani anampa huyu?

    Baada ya tu ya video ya kupuliza gesi kusambaa, jamaa kaja na kebehi na matusi kibao kwa wanawake na jamii nzima kwa ujumla, Kafikia hatua mpaka anatukana dini zingine. mbona kapanick sana Nani anampa hii jeuri huyu Msikilizeni wenyewe
  10. Kipenzi Changu

    Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

    Huku CCM huku manabii, akili yako ndio itakuokoa. Sio akili ya kushikiwa
  11. Waufukweni

    Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

    Wakuu, Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola === Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
  12. Waufukweni

    Video: Hili ndilo Gari alilopewa Eliud Samwel na Pastor Tony Kapola, Tazama Vibe lake

    Mchekeshaji Eliud Samwel ameonesha gari alilozawadiwa na Pastor Tony Kapola baada ya kukabidhiwa na Mke wa Mchungaji kama alivyoahidiwa. Pia, Soma: PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola
  13. ELI COHEN

    Niliona gari ya Kapola, nikaona hotel ya Boniface then shule ya kimataifa ya Ezekiel, nikajiuliza, am I too soft for life or too harsh on my reality?

    Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika" Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale? Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola

    Wakuu habari zenu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na ulinzi katika utendaji wake. Pia, Soma: + Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
Back
Top Bottom