Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu...
Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie.
Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna...
Je, una biashara ya tofali za block?
Unapata changamoto hizi?
Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji
Kutojua stock zilizopo
Ugumu wa kuhesabu gharama na faida
Kukosa ripoti za haraka na sahihi
Suluhisho ni TOFALISMART System
Mfumo huu unakusaidia:
Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali...
Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?
karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama unajenga gholofa.
Unashauriwa umwage nguzo kwanza.
kwanini
sababu ni kwamba ili cement ifikie ubora wake...
Wataalamu habari???
Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi nifyetua tofali za inchi 4' je? Inawezekana?? Na kitaalamu imekaaje??, kumbuka ni kwa ajili ya uzio tuu...
(VIBRATED BLOCK MACHINE)
🔹️TOFALI MBILI (1)
🔹️NGUVU YA MOTA 3HP
🔹️TOFALI 2000+ KWA MASAA NA
🔹️BEI 2,500,000/=
TUNAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM OPPOSITE NA SUMA JKT.
Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito.
Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma
- Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki.
Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu.
Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
Hii kazi nashindwaga kuielewa lengo lake ni kumfanya mtu ajae mwili au ajae fedha yaani unakuta mtu miaka na miaka kuanzia asubuhi mpaka jioni anahangaika kukimbiza tofali na mwili ushakua jumba yaani si Bora mtu uingie ulingoni kama kina kiduku maana mwili umekua jumba na umekomaa ila...
Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi
Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen
Ukubwa - 91sqm
Urefu - 12.3m
Upana - 8.5m
Gharama Ujenzi Boma
- Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache
Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)
Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja
Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
Wakuu amani iwe nanyi!
Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima.
Karibuni sana Wakubwa.
Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura
Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji
apartments
beautiful
contemporary
design
designs
gharama
gharama kubwa
hata
hotel
house
house design
katika
kibali
kibali cha ujenzi
kubwa
kuchagua
kulaza
kutumia
modern
plan
ramani
single
store
tofali
ujenzi
wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.