toba

Tobă, "caș de cap de porc" (which means "pig head cheese"), is a kind of a traditional Romanian delicatessen which looks like a wide sausage, 4 inch diameter using usually pig's stomach, stuffed with pork jelly, liver, and skin suspended in aspic.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    Hata mkilia machozi ya damu hatuwezi kuruhusu mateso, miaka yenu mitano mmeshamaliza. Mama yupo sahihi?

    Inashangaza kipindi ambacho taifa linapambana kuhakikisha tunawapatia Watanzania ukombozi wa kweli ndiyo mara ghafla wale jamaa wa kusifu na kuabudu au kwa jina maarufu wakiitwa Thug au S.Gang wakijitahidi kupenyeza ajenda zao mfu na mufulisi katika taifa letu teule. Niwaambie tu, huu muda...
  2. Superbug

    Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi. Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
  3. P

    Nilikuwa natembea na mke wa mtu, nilinusurika kufumaniwa nikaamua kumuacha na kutubu ila nafsi yangu haina amani

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka, Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya...
  4. Determinantor

    Katambi amepotoka, anahitaji toba

    Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo Ajira ambazo vijana walipewa wakazigomea? Ni ujinga na kujilisha upepo kuona au kuwadharau vijana...
  5. K

    IGP Simon Sirro; madaraka hupita, toba hutengeneza mwisho mwema

    Nadhani ipo nafasi ukitika katika utumishi unachobaki nacho ni kama binadamu mwenye imani kwamba Mungu yupo nikumshukuru Mungu nakuendelea kumtukuza kwa uhai na madaraka uliyopewa. Ukipewa madaraka, ukapewa maarifa ya mema na mabaya, ukapewa maarifa ya kujua pumzi si mali itokayo kwa mwanadamu...
Back
Top Bottom