tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  2. TLS: Tumesikitishwa na vitendo vya kudhalilisha, kukandamiza, na kutweza utu wa Lissu anavyofanyiwa na Vyombo vya Dola

    1 AGOSTI, 2025. TAMKO KUHUSU HADHI, STAHA, HAKI NA UTU KATIKA UENDESHAJI WA SHAURI DHIDI YA WAKILI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAY. Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limefuatilia kwa karibu mwenendo wa uendeshaji wa shauri linalomkabili Mwanachama wetu, Wakili Tundu...
  3. E

    GE2025 Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM. Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
  4. Tamko la TLS kuhusu kinachoendelea kwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na haki ya kuabudu

    Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada. Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
  5. Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  6. TLS: “Wakili Joseph Masanja Aliuawa kwa Kushambuliwa na Askari Magereza Katika Bwalo la Magereza Babati”

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara. PIA...
  7. TLS yaanza kuwasaka ‘Wachokonozi’ wanaodaiwa kuchukuliwa na waliojitambulisha kuwa Polisi

    Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi. Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha. Hata hivyo, Jeshi...
  8. R

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimezindua Kampeni ya kutokomeza Mawakili Vishoka

    Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotoa huduma za kisheria bila ya kuwa mawakili(maarufu kama vishoka) ili kujiepusha na madhara yanayoweza kujitokeza. Akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Malipo ya Pamoja na Mapambano Dhidi ya Vishoka (anti vishoka)...
  9. R

    KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI TLS INAKUTANA MARA NGAPI KWA MWAKA

    TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria. Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi. Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
  10. Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

    https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3 Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu. Tafakari kwa kina.
  11. Hivi kazi za national law societies hususan TLS ni vipi? Je, ni hizi anazofanya huyu Rais wa TLS ambazo hazina tofauti na zile za wanaharakati?

    National law societies, like the Tanganyika Law Society (TLS), primarily focus on representing and protecting the interests of the legal profession and the public. This includes advocating for fair conditions of practice for lawyers, ensuring access to justice for the public, and promoting the...
  12. B

    PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  13. I

    PreGE2025 Rais wa TLS Adv Mwabukusi amkaanga Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi

    Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema; "Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo." "Nimekuuliza...
  14. W

    SI KWELI PreGE2025 TLS yamkemea Maria Sarungi

    Je, hii taarifa kuwa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimemkemea Maria Sarungi?
  15. PreGE2025 TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake

    Wakuu, TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate)...
  16. Maamuzi ya Mahakama Kesi ya Lissu: Uthibitisho wa Umuhimu wa TLS kama " Shadow 4th Organ of the State"

    Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
  17. S

    Tanganyika Law Society (TLS) ifutwe

    Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma. Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya...
  18. R

    Sikiliza hotuba nzima za washiriki wa Kongamano la TLS, notable Warioba etc

    https://www.youtube.com/live/a0_B4bs_Kpo
  19. PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  20. Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…