tlp

Olympus is a tension leg platform oil rig, planned as a further development of the Mars field (hence "Mars B").

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea Urais TLP aahidi kuifuta Taasisi ya Mikopo ili wanafunzi wote wasome bure

    Mgombea urais kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, ameahidi kuifuta Taasisi ya Mikopo ili wanafunzi wote wasome bure, iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuiongoza nchi.
  2. R

    Mgombea wa Urais wetu kutoka TLP

    Kweli mama yetu unagombea na huyu?
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wagombea wa CHAUMMA na TLP wasikitika kuenguliwa na tume Longido

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki. Mbali na Mayunga, mwingine ambaye hakuteuliwa ni Johnson Mauma wa Chama cha TLP, ambaye naye anadai sababu...
  4. W

    TLP: Tutahakikisha Maiti hazizikwi na Serikali mkituchagua tuwaongoze

    Mgombea wa Urais Kupitia chama cha Tanzania Labour Part (TLP) Yustas Rwamugira amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Maiti hazizikwi na serikali kutokana na ndugu kushindwa kulipia Pesa za mochwari hivyo atahakikisha anafuta malipo ya...
  5. R

    GE2025 Mgombea Urais Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina Rwamugira achukua fomu INEC

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
  6. kavulata

    Chadema kama NCCR, CUF na TLP, Wacha watanzania waendelee kukomaa kisiasa.

    Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani. Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii...
  7. P

    Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  8. U

    Ushauri kwa Uongozi wa Juu Chadema bado hamjachelewa muombeni radhi Mwenyekiti Mstaafu Mheshimiwa Mbowe vinginevyo Chama kitazidi kubomoka

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri Niwatakie siku njema
  9. W

    PreGE2025 TLP wamuomba Rais Samia aingilie mgogoro wa uongozi ndani ya chama hiko

    Mgogoro wa kiuongozi ndani ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) umechukua sura mpya baada ya kundi la viongozi wa chama hicho, tarehe 29 Aprili 2025, kutoka mikoa mbalimbali nchini, kufika katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jijini Dar es Salaam wakiwa na mabango, wakimlilia Rais wa...
  10. Knock life

    Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, Mbowe wa Chadema, na Maalim Seif wa ACT , hawa hawakuwa wapinzani ila walikuwa ni double Agent

    Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana Mrema Mbowe Lipumba Maalim Seif These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
  11. R

    PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

    Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri Kemeeni makundi makundi..... bila chadema...
  12. W

    PreGE2025 TLP: Wanaotaka muungano wa vyama na sisi, wakubali mgombea Urais atokee TLP

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  13. Just Pray

    TANZIA Makamu mwenyekiti wa TLP, Zanzibar Hamad Mkadam afariki dunia

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba. Mkadam amefariki ikiwa ni mwezi mmoja na siku nne umepita tangu achaguliwa kuendelea kuhudumu...
  14. waziri2020

    PreGE2025 Tanzania Labour Party (TLP) kimeumana; uongozi mpya kuburuzwa Mahakamani

    Wanacha wa tlp wachachama mikoani wamkalia mwenezi kooni Pia soma > Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP TAARIFA KWA UMMA YAH: KUTOLEA UFAFANUZI WA UHALALI WA UCHAGUZI ULIOFANYIKA JUZI TAREHE 02/02/2025 KATIKA UKUMBI WA MRINA HOTEL TIP TOP MANZESE Ndugu...
  15. B

    Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP?

    Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP? Na Thomas Joel Kibwana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania, kilififia na kupoteza umaarufu wake kutokana na changamoto za uongozi, mgawanyiko wa...
  16. Cute Wife

    LGE2024 TLP: Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki ila Wapinzani hatukujiandaa kama CCM

    Wakuu, Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔 ==== Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema...
  17. Waufukweni

    LGE2024 Mwenyekiti wa TLP Taifa, Ivan Maganza awanadi wagombea wa CCM

    Mwenyekiti wa chama cha TLP Taifa, Ivan Jackson Maganza ameamua kuambatana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makala katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
  18. J

    LGE2024 CHADEMA na TLP zaungana na kukubaliana kuunda serikali ya Mseto, TLP itatoa Mwenyekiti na Chadema itatoa wale Wajumbe 5

    Wagombea wa CHADEMA na TLP Mtaa wa Tandale Kwa Tumbo wamekubaliana kuunganisha Nguvu ambapo Mwenyekiti kutoka TLP apewe Kura na Wajumbe Wote kutoka Chadema wapewe kura kisha wataunda serikali ya Mseto Mgombea Uenyekiti ni mh Ruben Peter ( TLP) Ushirikiano huu umeungwa mkono na Wafuasi wa vyama...
  19. G

    CHADEMA ukimuondoa Mbowe inaenda kuwa TLP, Chama cha siasa kinahitaji mtu mzito, mwenye historia ya kuwa Oligarch

    Huo ndio ukweli, Chama wakiachiwa hawa kina Lissu ni suala la muda tu, chalii Chama cha siasa kinahitaji mtu mwenye historia ya kuwa sehemu ya watu waliowahi kuwa kwenye oligarchy ya Tanzania Oligarchy ni hawa watu wachache wanaohusika / very connected na uongozi wa juu, mfano marais...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: TLP walia na wagombea wake kuenguliwa, wakata rufaa

    Wakuu, Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh: ==== Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao waliowasimamisha kwenye nafasi za uenyekiti katika mitaa mbalimbali...
Back
Top Bottom