titi mohamed

Bibi Titi Mohammed (June 1926 – June 5, 2000) was a Tanzanian politician of Muslim descent. She was born in June 1926 in Dar es Salaam, at the time the capital of former Tanganyika. She first was considered a freedom fighter and supported the first president of Tanzania, Julius Nyerere. Bibi Titi Mohammed was a member of the Tanganyika African National Union (TANU), the party that fought for the independence of Tanzania, and held various ministerial positions. In October 1969, she was sentenced for treason, and, after two years in prison, received a presidential pardon.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Bibi Titi Mohamed Shujaa Mwongoza Njia

    SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru. Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
  2. Mohamed Said

    Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

    BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho. Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Chatanda Asema Bibi Titi Mohamed ni Muasisi Bora Katika Taifa Letu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao, uwezo na nafasi ya mwanamke kwenye jamii, mchango wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Taifa hili. Akizungumza...
  4. Mohamed Said

    Titi Mohamed na Tatu bint Mzee Marafiki Wawili Walioweka Msingi wa Wanawake Kujiunga na TANU

    BIBI TITI MOHAMED NA BI. TATU BINT MZEE MARAFIKI WAWILI WALIOWEKA MSINGI WA WANAWAKE KUJIUNGA NA TANU Historia ya wanawake kujiunga na TANU inaanza na safari ya Mwingereza John Hatch alipokuja Tanganyika kwa mwaliko wa TANU mwaka wa 1954. Huyu alikuwa mbunge na mwanachama wa Labour Party...
  5. Mohamed Said

    Buriani Leila Sheikh: Sikio na Mwandani wa Bi. Titi Mohamed

    BURIANI LEILA SHEIKH SIKIO NA MWANDANI WA BI. TITI MOHAMED Wasomaji wangu niruhusuni niweke msg niliyomtumia Leyla Sheikh tarehe 12 December 2022. (Mtaniwia radhi nimeifanyia uhariri kidogo ili ipate kueleweka kwa wasomaji). Wakati huo CCM na serikali yake walikuwa katika pilikapilika ya...
  6. Mohamed Said

    Safari Kuelekea Ikwiriri Tamasha la Bi. Titi Mohamed

    SAFARI KUELEKEA IKWIRIRI TAMASHA LA BI. TITI Juma hili kuelekea Tamasha la Bi. Titi lilikuwa na shughuli nyingi kwangu. Ingia toka ya waandishi na makamera yao ya TV yakishushwa kutoka kwenye magari ikawa jambo la kawaida nje ya nyumba yangu. Napokea simu baada ya simu. Haukupita muda...
  7. Mohamed Said

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

    WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
  8. Mohamed Said

    Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed

    MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi. Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
  9. Mohamed Said

    Bi. Halima Mzee, mtoto wa Bibi Titi Mohamed yote kayaona kwa macho yake

    BI. HALIMA MZEE MTOTO WA BI. TITI MOHAMED YOTE KAYAONA KWA MACHO YAKE Picha hiyo hapo chini ni tawi la TANU lililofunguliwa na Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa mwaka wa 1954. Ali Mshama katuachia hazina ya picha muhimu sana katika historia ya TANU. Moja ya picha hizo ni...
  10. Mohamed Said

    Ismail Bayumi, Ronald Ngala, Tom Mboya na Bi. Titi Mohamed

    Leo asubuhi nimepita Maktaba. Siku zote nikiingia mtaa huu lazima nitapata jambo na jambo litazua jambo. Nimekuta video ya majuma mawili mawili yaliyopita nilipofanya mahojiano nyumbani kwangu na Waandishi Maalum. Nikawa naisikiliza. Nikajikuta namzungumza Ismail Bayumi pamoja na Ronald Ngala...
  11. Mohamed Said

    Picha za Bi. Titi Mohamed kutoka Bukoba 1962

    PICHA ZA BI. TITI MOHAMED KUTOKA BUKOBA 1962 Nimepokea picha mbili kutoka Bukoba kwa kaka na rafiki yangu Ramadhani Kingi. Kingi kaeleza hapa jamvini masikitiko yake kuhusu yale yaliyowafika Ali Migeyo na Bi. Titi. Nitamweleza Ali Migeyo kwa muhtasari tu na sitatia neno langu nitamleta hapa...
  12. leonaldo

    Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

    Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
  13. Mohamed Said

    Kipindi maalum: Bi. Titi Mohamed

    MWANZO MEDIA: MATENGENEZO YA KIPINDI MAALUM KUHUSU MAISHA YA BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000) Mwanzo Media wamenihoji kuhusu maisha ya Bi. Titi Mohamed. Huu ni upepo mpya kuona kumekuwa na mwamko mpya wa kutaka kujua historia ya uhuru wa Tanganyika na mashujaa wake ambao kwa miaka mingi walikuwa...
  14. Mohamed Said

    Umoja wa wanawake Tanzania kumuenzi Bi. Titi Mohamed

    BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)HANA MFANOWE Historia ya Bi. Titi haijaandikwa. Naamini ni watu wachache sana wanajua kuwa Bi. Titi Mohamed amepanda jukwaani kuhutubia mkutano wa TANU Viwanja Vya Mnazi Mmoja wala haijui sura ya Julius Kambarage Nyerere inafananaje. Naamini pia si wengi...
  15. Mohamed Said

    Nyerere Day: Tumkumbuke Bi. Titi Mohamed na juhudi za kumtoa Jomo Kenyatta kifungoni Kapenguria

    NYERERE DAY: TUMKUMBUKE BI. TITI MOHAMED NA JUHUDI ZA KUMTOA JOMO KENYATTA KIFUNGONI KAPENGURIA Msukumo mkubwa wakati nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa akichukuliwa na wananchi wote kama kiongozi na nguvu ya umoja wa...
Back
Top Bottom