Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu.
Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara.
Kituko cha mwaka ni julio alichoongea...