timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

    Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

    Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime. TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa. Viva Tanzania!
  3. JamiiForums Tanzania Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

    Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika. My take: Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya Azam inakwama wapi?

    Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake, Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu. Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
  5. JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza Tanzania kumiliki app,Timu ya kwanza Tanzania kuuza jezi online kwa zaidi ya 70k.

    Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale! Namna...
  6. JamiiForums Tanzania Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au viongozi wa hilo Jiji hawapaswi kuongoza hilo Jiji. Mpira unapendwa duniani kote na unatoa Burudani na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwako Eng. Hersi Said: Wana yanga tunaomba msimu ujao timu akabidhiwe Charles Boniface Mkwasa (Master)

    Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa tunahitaji kukuona Master Charles Boniface Mkwasa akiiongoza timu yetu katika kampeni ya kuutetea ubingwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa sasa yanga ni timu ya daraja la juu Afrika

    Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa wadhamini, viongozi, wadau, wachezaji, wanachama na mashabiki wa Wananchi Young Africans SC kwa mchakato, uwekezaji na mafanikio waliyoyavuna kwa misimu miwili mfululizo na kutwaa vikombe: Ngao ya jamii x2 Ubingwa wa ligi kuu NBC X2 Azam sports federation...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchini Wachezaji wa Timu Bingwa hawajumuiki na wenza wao wakati wa kukabidhiwa kombe?

    Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
  10. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

    Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
  11. JamiiForums Tanzania Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

    Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

    Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  14. JamiiForums Tanzania Manchester City yatajwa kuwa Timu yenye Thamani Kubwa zaidi Duniani

    Man City have been named the most valuable football club brand in the world, after topping the Brand Finance Football 50 report for the first time 🥇 Five other English clubs appear in the top 10: Man Utd (4th), Liverpool (5th), Arsenal (8th), Tottenham (9th), Chelsea (10th) 💪📊 Source: Sky sport
  15. JamiiForums Tanzania Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga yaendeleza rekodi, haijawahi kuwekwa na timu yoyote Afrika

    Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away? Big up sanaaa Nb Nyumbani kuna wanga na wachawi
  17. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Morrison ndiye mchezaji pekee mjanja kwenye timu ya Yanga

    Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi. Mambo kama haya yanaathiri saikolojia ya refa na maamuzi yake ya baadaye. Ni Morrison pekee ndiye anaweza uhuni huu...
  19. JamiiForums Tanzania Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
  20. JamiiForums Tanzania Matola achaguliwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya Vijana Simba SC

    Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20. Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema Simba imedhamiria kuimarisha timu zake za vijana akiamini huo ndio utaratibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…