timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  2. JamiiForums Tanzania TFF ikiruhusu baadhi ya timu kutumia uwanja wa Mkapa katika preliminary rounds itakuwa upendeleo

    Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo huruhusiwa kutumia uwanja wa mkapa. Tumeshuhudia vilabu kama Yanga na Azam vikitumia viwanja vingine...
  3. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

    Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Willy Essomba Onana afunga hatrick kwenye mechi yake ya kwanza ya kitafiki akiwa na timu Al Hilal Benghaz

    Salaam Wadau wa Michezo, Kuna taarifa nimeiona inadai kuwa Willy Esomba Onana aliyekuwa mchezaji wa Simba SC msimu uliopita ameibuka shujaa kwa kufunga mabao matatu katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki. Taarifa hiyo nimeiona kwenye akaunti ya Instagram ya Aggy Simba na kwa SeekerTZ.
  6. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa Ethiopia ni imara, kutoa sare, Taifa stars ijipongeze

    Watanzania wengi wamekariri Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team. Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
  7. JamiiForums Tanzania Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Awesu Awesu ni mashine hajaitwa timu ya Taifa ila Feitoto kaitwa. Kuna shida pale Taifa Stars

    Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known. Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
  10. JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Valentino Nouma hajaitwa timu ya taifa

    Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea?
  11. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Raundi ya Tatu Carabao Cup yapangwa, vigogo wa Premier League wapata timu mchekea

    Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Carabao Cup 2024/25 imepangwa ikishirikisha Timu 32, timu kubwa za Premier League zimepangiwa wapinzani kutoka katika madaraja ya chini ikiwemo Manchester United, Arsenal, Aston Villa, Tottenham na Manchester City. Upande wa Liverpool, yenyewe itakutana na ‘kazi’ kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  13. JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  15. JamiiForums Tanzania Timu kama Brighton inafundisha kuiishi na kuitekeleza mifumo, sera na taratibu za timu

    Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga imeacha kuwa feeder club kwa timu za Africa, Mzize bado yupo.

    Kama wachezaji wakubwa Africa kama Aziz Ki, pacome, Aucho, Yao, Diara , nzengeli, che Malone, Dube wamekuja kucheza Tanzania unataka mchezaji mdogo kama Mzize aende nchi gani Africa? Ni timu ngapi Afrika hazitaki kuwa na kocha kama Gamondi, Nabi kwenye timu zao? Mzize awaze kwenda ulaya sio...
  17. JamiiForums Tanzania Soma hii halafu uniambie mashabiki wa timu gani ni mbumbumbu

    Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama.... Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere. Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
  18. JamiiForums Tanzania LAMECK LAWI AANZA MAZOEZI NA TIMU YAKE

    Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu. Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden. #matukiolive...
  19. JamiiForums Tanzania Naona tumeshahamisha Goli, baada ya kusema Timu ipewe muda inajengwa, sasa tunasema Mashabiki tuwe Wavumilivu nayo

    Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo. Mpira...
  20. JamiiForums Tanzania Timu za ligi kuu zitakazoshuka daraja 24/25

    1.JKT Tanzania 2.Fountain gate 3.pamba jiji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…